Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Binafsi nakupongeza sana kwa kutengeneza wapinzani milioni 60 Hii inaonesha ni jinsi unavyokaribia kusambaratika kabisa Wenzako walikua na akili, walihakikisha wanakua na wapinzani wa chama cha...
3 Reactions
4 Replies
222 Views
Huu ni ujinga kila siku watu wanateseka kwa maovu na uonevu wa viongozi ndani ya Tz na huku watu wakijinadi kuwa wanauwezo wa kulipiza kwa nguvu za asili kila leo. Ni wazi mungu wa biblia na...
1 Reactions
4 Replies
212 Views
Katika forex kuna vipindi vya habari ambavyo upimwa madaraja matatu niliyotaja hapo juu.N amadaraja haya kuna daraja kubwa ambalo ni high impact ambalo mfano spika wa bunge nchi ambayo mfano USA...
1 Reactions
6 Replies
237 Views
Kama umewahi kuishi na Wakenya, utagundua wengi wao wana matumizi mazuri ya ubongo. Je, Watanzania tunakwama wapi? Au kwa sababu lugha ya kujifunza ni Kiswahili? Au ni vichwa vyetu tu?
2 Reactions
7 Replies
371 Views
Kongamano la Umoja wa Bodaboda na Machinga Dar es Salaam limewakutanisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma...
1 Reactions
22 Replies
767 Views
Picha: Abbasi Rajabu mkali ni miongoni mwa waliouliwa kikatili tarehe 29/10/2025. Abbas Rajabu Mkali askari Magereza kituo cha kazi Mbarali nae aliuwawa miongoni mwa mauwaji ya hovyo ya tarehe...
2 Reactions
8 Replies
714 Views
Kuandamana bila objectives ni kupoteza muda. Tunaandamana ili tu-achieve nini?? Mambo gani tunataka yatekelezwe?? Nashauri, Gen Z tuset Malengo machache ambayo ndo sababu ya sisi kuingia...
2 Reactions
5 Replies
280 Views
Leo ndo nimeamini hakuna jeshi bali ni kikundi cha wanasiasa Jeshi gan uchwara kama hili? Wanapongezana kwa mauaji kwa kupandishana vyeo Gen Z, taifa halitokombolewa kwa kuwategemea JW bali ni...
6 Reactions
18 Replies
684 Views
Kwanza nitoe angalizo mimi sio mwanachama wa chama chochote na hususan Chama tawala. Kwangu mimi nafahamu fika wanasiasa wengi wa kiafrika ni wachumia matumbo tu. Tukija kwenye mada , Leo mange...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Mnaofanya kazi za serikali kusupply na wengine mnaofanya kazi na mashirika makubwa ya wawekezaji au kampuni za nje mbona kama speed imepungua ya huduma na tenda zao. Kwa sasa hata tuliokuwa...
1 Reactions
4 Replies
420 Views
Chama cha Mifuko ya Matengenezo ya Barabara Afrika (ARMFA) kimemchagua Mhandisi Rashid Selemani Kalimbaga wa Tanzania kuwa Rais wake mpya katika siku ya nne ya Mkutano Mkuu wa 22 unaofanyika mjini...
2 Reactions
3 Replies
168 Views
Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi. Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja...
9 Reactions
4 Replies
658 Views
Assalam ALLAYKUM ndugu ZANGU waislamu, Tumsifu yesu kristo ndugu zangu wa kristo, Niaje makamanda ndugu zangu wapagani. Sihitaji ushauri Nisha Fanya maamuzi, nguvu isio onekana imenambia kijana...
1 Reactions
11 Replies
271 Views
Nimekuwa ninarejea mambo yalivyokuwa wakati bado niko shule ya msingi na sekondari miaka hiyo hasa upande wa siasa za CCM( leo hii chama cha rangi ya Alizeti). Mikutano mikuu ya CCM ilivyokuwa...
1 Reactions
4 Replies
282 Views
Watoto wetu hatujui hatma yao
0 Reactions
3 Replies
259 Views
Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna...
3 Reactions
8 Replies
327 Views
Kiongozi jitahidi kuacha yako uliyonayo, bali ita vikundi mbalimbali jadili nao. Viongozi Wa siasa, dini, NK mbona watanzania wapole tu. Ila ukishupaa utaona moto Wa kiburi
3 Reactions
3 Replies
173 Views
Inakuwaje makanusho yakawa vitendo yani wakiguswa hapa wanatenda kama wanasingizia AI, wahamiaji na pesa walillipwa kauli toka kwa Waziri Mstaafu wa fedha na sasa Waziri Mkuu. Mnapoona kuna...
2 Reactions
7 Replies
451 Views
Nimezoom kwa kutumia google map hainipi real on time action. Labda kuna kitu hapa Dodoma kinazuia ila kuna nyie mliopo Daresalama huko ununio mtupe taarifa kama zipo. Jana kuna jamaa alisema...
3 Reactions
4 Replies
512 Views
Back
Top Bottom