Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kati (Singida), Dkt. Cyprian Hilinti, ametoa wito kwa Watanzania kuilinda amani iliyopo nchini, akisisitiza kuwa bila amani hakuna shughuli yoyote ya uzalishaji...
Kufunga ni mbinu ambayobimekua ikitumika tangu zamani mbinu hii imekuwa ikitumika katika tamaduni mbalimbali duniani kama njia ya kujisafisha kiroho, kimwili na kiakili. Haijalishi wewe ni mtu...
Wakuu haki na amani iwe kwenu.
Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na lawama kwa waandishi wa habari wa Tanzania baada watu kuona kuwa wanaripoti habari zenye mwelekeo moja wa kuitetea serikali na...
Watanzania wenzangu,
Tukio la Oktoba 29 lilileta maumivu, sintofahamu na migawanyiko ambayo hatutamani ijirudie kamwe. Amani ya nchi yetu ni hazina kubwa, na kama taifa, tunapaswa kutafuta njia...
Siku ya uapisho wake Mama alishangaza watu alipotoka na msafara wake wa Range Rover za ‘Santorini Black’ mpya kabisa. Flagship ya msafara wake mpya ni model ya 2025 ya Range Rover SV iliyokuwa...
Kuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration.
Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga.
KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha...
Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji
G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi
Swala la mali...
Habari Wakuu, kuna mambo mengi yanatokea maishani katika namna ambayo ukijiuliza unafikia conclusion ya kuwa hili jambo kama si kwa uwezo wa Mungu lisingetokea.
Una story yoyote ya hivyo? Karibu...
Yale ya kabla ya Oktoba 29 ndiyo yanarejea tena tujipange ikiwa litatokea la kutokea uwe na chakula ndani na vitu muhimu kwasababu hatuwezi kuona yajayo ila tunahisi
Utamwelezaje MTU kwa maneno mazuri ambapo askari anampiga 'mwanamke' anayekimbia risasi. Je, huyo ni Askari aliyepitia mafunzo?
Ukumbuke familia zao zipo.
Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo
Yeye mwenyewe haelewi kwanini yuko hivyo kwasababu ni mambo ya uumbaji
Watu wa...
Salamu
Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan
Wazir wa Fedha, Dkt.Mwigulu Nchemba
Ninayo furaha sana kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa baraka zake kuu tunazoendelea...
Tumeona mabadiliko yalifanywa katika wizara au mamlaka ya kupunguza ukubwa wa taasisi au wizara ili kuleta tija na ufanisi.
Tumeona wizara iliyokuwa nishati ya nishati na madini ikigawanywa...
Habari zenu wana jf
Baada ya mihangaiko ya wiki nzima nikaona nifuatilie speech zote za raisi na amiri jeshi mkuu tokea uapisho wake mpaka sasa ila nilichogundua sisi watanzania tupo huku na huku...
My people,
Katika kipindi hiki muhimu cha kihistoria, napenda kutoa pongezi za dhati kwa Watanzania wote kwa kuonyesha umoja, mshikamano na uthabiti katika kukataa udini. Kwa mara nyingine...
Jumapili ijayo itasimama kama tukio la kipekee la ibada, ambapo waumini wa kanisa letu watakusanyika kwa moyo wa unyenyekevu na shukrani. Misa ya pili itaongozwa kwa upekee na kwaya ya Mtakatifu...
Kampeni ya TUSHAVUKA HUKO ya Benki ya CRDB inaendelea kuvunja rekodi baada ya wateja kutoa ushuhuda kuhusu maboresho makubwa ya mfumo na huduma za benki hiyo, huku wakijipatia zawadi mbalimbali...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka viongozi wa Maafisa Usafirishaji na Wamachinga kuunda timu maalum itakayozunguka katika vijiwe vya bodaboda na maeneo ya wafanyabiashara kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.