Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kuna uhuni umezuka kwa hapa Morogoro Unaoaminika unafanywa na wafanyakazi wa kampuni ya tigo kuwaibia mawakala kwa kutumia wateja wanaojifanya wanakuja kutoa pesa kwa wakala. Kinachofanyika ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Visambuzi hivi vya Star times hujizima mara kwa mara. Na unapokiwasha masaa nane mfululizo basi hujizima na huwezi kukiwasha mpaka ipite saa moja.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Hivi ni nani alitoa ruhusa kwa waislam kuwa wajinjaji wa nyama zote hapa nchini kwetu? Nauliza hii maana kuna mchungaji kachinja na sasa yupo mahabusu. Sheria zinasemaje kwenye hili.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SATURDAY, JANUARY 5, 2013 Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo akikata utepe kuzindua na kufungua ofisi ya waendesha bajaji mkoa wa Mbeya eneo la isanga Naibu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Suspect exhuming his son's corpse The police command in Kogi state have arrested a middle aged man, Mr Hosea Folorunsho in Egbe town of Yagba West local government council for the alleged...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Three issues define the race to succeed President Mwai Kibaki. Firstly, how the trials at the International Criminal Court will affect political stability and the fortunes of two of the leading...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Wadau wa Musoma na Mara ktk pita pita zangu mitandaoni hawa ndio Watu maarufu Mkoa wa Mara, mi naonaga kama mkoa baki sana kumbe nao wamoooo! Notable persons from Musoma and Mara Musoma has...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Shirika la ndege Tanzania AIR TANZANIA hatimaye limetangaza kuanza safara zake za Kigoma - Dar wiki kesho.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukistaajabu ya musa siku zote utaona ya firauni hii ndio hali halisi ilivyojitokeza katika wilaya ya Rombo mara baada ya kamishna wa jeshi la polisi kutoka makao makuu alipofanya ziara wilayani...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwahiyo wana mtwara msituletee ukabila na ukanda . je na dar nao wakisema bandari ni ya dar itakuwaje. kama hujaridhika ruksa kuhamia mkoa wowote uupendao
0 Reactions
34 Replies
3K Views
wakuu nimetoka kureceive txt kutoka kwa rafiki yangu akiniambia inabidi nizime simu kwanzia sa 0030 mpaka 0330 kuavoid hizo rays. is it true?Tonight 12:30 am to 3:30 am cosmo rays entering earth...
0 Reactions
97 Replies
30K Views
Habari za Jumamosi ya Leo Januari 05,2013? Natumaini hamjambo na mko sawasawa katika kulisukuma gurudumu la nchi yetu. Taarifa nilizonazo ni kwamba katika eneo moja linaloitwa Kakanguke/Ngoma...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa chama kikuu cha ushirika mkoa wa kilimanjaro kncu mernad swai ameandaa kiasi cha sh laki tano kwa kila mjumbe wa mkutano mkuu maalumu ili kumkingia kifua asivuliwe wadhfa huo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Source: Elimu Bora Tanzania
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu wa jf Kuna tabia ambayo ipo huku mitaani kwetu kwenye vyombo vya usafiri Tabia ya kulala kwenye vyombo vy usafiri.. sikatai kuwa huruhusiwi kulala kwenye vyombo vya usafiri ila sasa...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Hallo there ,yes you ???ß dont scroll down and IGNORE ;;; Can you see them?? They are like you,They have blood flowing through their body like you. But just look at them, look at what they are...
1 Reactions
3 Replies
913 Views
Gold Bars That can be broken like Chocolate ! Divisible gold 'Colombia' can easily be broken into one gram pieces and used as payment in emergencyPrivate investors in Switzerland, Austria and...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
KAMPUNI ya Star Media Tanzania Ltd (Startime) imewataka watu ambao wamenunua ving’amuzi na kubaini kuwa havifanyi kazi kuvirejesha kwenye ofisi zao ili wapatiwe vingine. Vilevile wamewataka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nikiwa kwenye shughuli zangu za kawaida kwenye ofisi yenu ya Morogoro nilikutana na wateja zaidi ya mmoja hao wate ni wale wanaofanya shughuli za Mpesa wajasiria mali wakilalamika kuwa sim card za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa bahati mbaya mwaka 2012 ulikuwa ni mwaka mchungu sana hasa ktk tasnia ya sanaa,wasanii kadhaa walitutoka na pia wengine kufikishwa mahakamani na wengine kutafutwa na polisi.Nawazungumzia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…