Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo nikiwa pamoja na jamaa zangu tumetoka kumwangalia mgonjwa pale Muhimbili tuliisikia kauli ambayo ni ngumu ama yamkini naweza kusema inashangaza. Ni kijana mwenye umri yapata miaka 30-33...
1 Reactions
4 Replies
404 Views
Binafsi siipendi ccm kwa tabia zake kandamizi kwa wananchi na ndiyo maana watu wengi tuna shauku kubwa kuona siku moja hiki chama kilichozeeka kinang'oka madarakani. Lakini nimekuwa najiuliza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Raia wenzangu, mmeshakutana na vituo vya luku ambavyo havina LUKU kwa siku kadhaa? Sababu kuu tunaambiwa ni network, tanesco sijawaskia wakisema lolote zaidi ya kuomba radhi kwa umeme uliokatika...
0 Reactions
2 Replies
838 Views
Kwanini wafuasi wengi (wanachama wa chadema) wanapenda kuona negativity in everything?????.hawana lililozuri kwao,guys hata kama mtu anatabia mbaya anayake mazuri pia. u knw this make me think...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Muhammad Ali's advice to his daughters..............Inspiring An incident transpired when Muhammad Ali's daughters arrived at his home wearing clothes that were quite revealing. Here is the story...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Binafsi nimesikitishwa sana na kitendo cha bodi ya TSN kutorenew mkataba wa mwandishi mkongwe aliyeiva kitaaluma Mkumbwa Ali kwa sababu zisizoeleweka. Wengi wameshikia bango kiwango cha elimu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Karavari iliyoharibiwa na mvua za karibuni-Interchick Magufuli ni mmoja wa Mawaziri makini kwa kufuatilia kazi zake na kuzisifia kwa takwimu hadi nukta ya mwisho. Ili afanye kazi yake vizuri ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa vile siku hizi inaelekea usipopiga kelele mara nyingi na uksikika, mtu utakufa na tai yako shingonina huku unateketea. Wakati huko Igunga wananchi wanajengewa daraja la kwenda hadi Simiyu na...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Tabora ndugu Kansa Mbarouk amefiwa na mwanae siku ya jana hivyo makamanda wengi tupo hapa msibani tangu usiku wa jana .
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bila sababu za msingi trafic polisi amesimama katikati ya service road hapa maeneo ya TAZARA, sielewi anatoa wapi hayo mamlaka. Watu wengi tunatokea maeneo mbalimbali na kuingia service road kabla...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Yaani muda si mrefu hali kama ya tetemeko dogo hivi imepita dar,ni mshindo wa ardhi ambao sina uhakika kama ni tetemeko kweli au la,wenye kujua ukweli watuambie.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
As the government through the Ministry of Natural Resources and Tourism battles escalating acts of poaching some members in the Police Force have been named in the list of perpetrators of the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A large ship is scheduled to dock here today from Dubai, United Arab Emirates (UAE), to provide seafaring training. The ship is owned by Philtex Limited and already officers have arrived here for...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
ASKARI wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA), wanatuhumiwa kumpiga na kumsababishia kifo, Musa Amiri Lihonga, Mkazi wa Mbezi-Makabe, jijini Dar es Salaam, katika msitu wa Mambwepande.Tukio hilo linadaiwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
wadau uyu chalii alikuwa anatangaza kipindi cha michezo tbc1,nilikuwa napenda sana presentation yake,
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (yumo garini kushoto) akikagua sehemu ya kutua na kupaa ndege ya uwanja wa Tabora leo Januari 10, 2013 mara baada ya kuzindua rasmi ujenzi wake Waziri wa Ujenzi Dkt...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkandarasi Mashauri na msimamizi wa mradi huo, kulia Simon Dohner. “Kwa maana hiyo yatakuwa hayachangamani na mabasi mengine ya abiria kwa kuwa yatatumia barabara zake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mapema Mwezi wa tano Mwaka huu Mweyekiti wa baraza la Madiwani Ileje Mh Mohamed Mwala aliitisha kikao Cha madiwani kilichopelekea Kumukataa Mkurungenzi mpya wa Wilaya na kumupendekeza...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
mimi ni mkazi wa mbezi luis, jamaa wanaozoa taka wamemwaga taka barabarani ambazo zinanuka balaa. Hivi serikali ipo wapi? Na ukiwauliza wanasema wametumwa na serikali ya kijiji! Hivi kuna ukweli hapo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana Jf naomba kuuliza kuhusu ule mkonge wa taifa wa mawasiliano umeanza kutumika? Maana ulisambazwa karibu wilaya zote na serikali kugharamia usambazwaji wake huku kukiwa na ahadi lukuki juu ya...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…