mtangazaji wa tbc pendael omary yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtangazaji wa tbc pendael omary yuko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pota, Jul 9, 2012.

 1. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  wadau uyu chalii alikuwa anatangaza kipindi cha michezo tbc1,nilikuwa napenda sana presentation yake,
   
 2. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Labda naye ameenda BBC au DW. Maana wengi wakipotea huku kwetu wanakimbilia huko.
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nilimsikia siku moja BBC swahili yeye na Lisajo mwakabuku. Nahisi wako huko.
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Jamaa alikuwa anakipatia sana na kuweka 'vimbwanga' kidogo
   
 5. Kobaba

  Kobaba JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  jee, Ezekiel Mwalongo amepotelea wapi na yeye?
   
 6. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Huyu simfahamu kabisa!
   
 7. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 1,379
  Trophy Points: 280
  pendael mkuu alipata skendo moja hv enzi za TIDDO MHANDO alimpa promo za kutosha mgombea mmoja wa CDM na ambaye ss hv ni mh,kuanzia hapo nae akakumbwa kwenye mkumbo wa Tido(mwenye kufahamu na afahamu)
   
 8. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,861
  Likes Received: 1,302
  Trophy Points: 280
  mdau huyu alikuwa fasta kama nini, kiukweli mimi napenda saaana anavyotangaza,sijaangalia tbc mda sasa jamaa haonekani nini???
   
 9. CHABURUMA

  CHABURUMA Senior Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamaa alikua mtayarishaji mzuri wa kipindi cha michezo tbc1.
   
 10. +255

  +255 JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Unazi mwingine wa kipuuzi sana hadi unataka kutudanganya, jamaa alikuwa anatangaza kipindi cha michezo, kwa hiyo unataka kutudanganya huyo mwanasiasa alikuwa anapewa promo kwenye kipindi cha michezo?
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mwabepande mkuu ebu nenda kamcheki kama hayupo huko jaribu icu
   
 12. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2013
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  Ulevi noma!jamaa kachoka sana kwa ulevi mara ya mwisho alikuwa simanjiro ila nasikia hujaga dar kwa kubeep...kachoka sana ezekiel mwalongo unaweza ukalia ukikutana nae
   
Loading...