Je kuna tetemeko lmepita au nini?

Je kuna tetemeko lmepita au nini?

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Yaani muda si mrefu hali kama ya tetemeko dogo hivi imepita dar,ni mshindo wa ardhi ambao sina uhakika kama ni tetemeko kweli au la,wenye kujua ukweli watuambie.
 
1.Kwa nini umejipa jina la kondom?
2.watu wangapi wamekufa hapo jirani na kwenu ama kuna madhara yeyote?

Chimbuvu,
.1.Condom ndo wamejiita jina langu,kwa kuwa mi nilikuwepo kabla ya condom.
2.Hakuna alokufa ila vyombo vimetikisika na kuta pia.
 
Last edited by a moderator:
Yaani muda si mrefu hali kama ya tetemeko dogo hivi imepita dar,ni mshindo wa ardhi ambao sina uhakika kama ni tetemeko kweli au la,wenye kujua ukweli watuambie.

Yes, Kulikuwa na tetemeko leo la magnitude 4.7. Center ilikuwa kwenye bahari ya Hindi kati ya visiwa vya Maldives na Seychelles. Ukitaka details tembelea hapa.

Real-time Earthquake Map
 
Kwanza tuambie unajihabit kwenye nyumba ya udongo nini?au hiyo Dsm unayo ishi wewe iko nchi gani?.
 
Ungeanza na kusema kuwa wewe uko sehemu gani ya jiji ili tuulize kwa jamaa zetu kupitia simu maana inawezekana hawamo humu JF
Yaani muda si mrefu hali kama ya tetemeko dogo hivi imepita dar,ni mshindo wa ardhi ambao sina uhakika kama ni tetemeko kweli au la,wenye kujua ukweli watuambie.
 
Back
Top Bottom