Hivi Nakaaya Sumari yupo CCM au yupo wapi?

Hivi Nakaaya Sumari yupo CCM au yupo wapi?

Kimagege

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
283
Reaction score
88
huyu ni yule binti aliyeimba nyimbo inaitwa mr politician na baada ya hapo akahamia cdm.muda haukupita sijui alipewa nini na nani kidogo tukasikia akihamia ccm wakati huko cdm walishamwandalia ubunge wa viti maalumu ili kuleta mwamko wa vijana kushiriki siasa ndani ya cdm.ni bahati mbaya kuwa ccm hawakumpa chochote hadharani(gizani hakuna shahidi) na sasa ametoweka rasmi ndani ya ulingo wa sisa.kwa wenye taarifa zake watupashe habari.HII ITASAIDIA KUWEKA KUMBUKUMBU SAWA NA KUWAONYA WALE WANAOKIMBILIA CCM BILA KUJUA KUWA WATATUMIWA NA KUACHWA.
 
Hapo alipo najua anajutia sana uamzi wake na maumivu aliyo nayo ni makali sana,na miaka ndiyo inayoyoma hivyo magamba watoke madarakani.Nadhani kwake 2+2=22.
 
Kabla haujaingia kwenye siasa ni lazima uweke kichwani nini unataka kuwafanyia watanzania na taifa lao.Na ujipime mwenyewe kama una uzalendo kweli au upo pale kwa ajili ya tumbo.Haileti maana uko kwenye chama cha siasa unahongwa kidogo unahamia kwenye chama tawala,lazima chama tawala wakuteme maana haufai hata kwa chakula cha kuku!

Ukisha kubali hongo unadhani wakikupa uongozi itakuwaje?Utaweza kuwapinga?Kwangu mimi ni sahihi kabisa kwa chama tawala wakiwatema watu hawa na wawasahau milele,maana hawafai hata kuchemshia maji ya kuoga.
 
Mwanasiasa aliyepatika kwa urahisi hawezi kuaminiwa na chama kikubwa.

CC: Shonza, Mwapamba, N.K
 
need we say more than this?

images

hata kama mods wamezitoa zile picha mimi nilishaona hadi kunako
 
Back
Top Bottom