Ushuhuda na Sababu za Askari Kuwazuia Waumini
Ufungaji wa Usajili wa Kanisa
Msajili wa Jumuiya za Kiraia alitangaza kufutwa kwa usajili wa kanisa la Gwajima (Glory of Christ Tanzania / Ufufuo na...
Nimeshangaa Sana Kampuni ya Airtel walichonifanyia aiseeh @airtel_tanzania Kuna watu wengi wanalalamika kuhusu kushindwa kufanya fidia juu ya kilichotokea Mwezi mmoja uliyopita.
Toka oktoba 29...
Wanankumbi mko njema
Yule mwanasheria mbobobevu aliejinadi ataenda kumkamata Mange
Atatakiwa kuandaa mashtaka ya kwenda kuifungila CiNN kesi kwa kuchafua Taifa linalosadikika halifanyi uovu wa...
Aki ya Mungu sijui nani alimshauri aisee.. huwezi kuuua watu ambao hawana risasi alafu mbaya unawafuata mpaka mtaani na Majumbani .
Ni bora tuu ungetoa Amri ya kupiga za miguu tuu na sio kuua...
Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani.
Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police...
Ukiachia mbali propaganda chafu za Tanzania imimtetea habithi Milton Obote, Idi Amin hakuwa katili na hovyo hivyo.
Ni kweli utawala wake uliua. Ila haukufikia ukatili ulioshuhudiwa nchin tolana...
Watumishi wa TAMISEMI mmefikiwa huku
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa amewataka watumishi wote waliopo chini ya Tamisemi nchi nzima kuzingatia muda wa kuripoti na...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nchimbi alikuwa mgombea mwenza
Mpango alikuwa rais makamu
Kasim alikuwa waziri mkuu
Walikuwa ni viongozi wakubwa sana
Lakin kwa nini...
Katika enzi ya kisasa ambapo uhasama wa mataifa makubwa unazidi kushamiri, hatari ya vita vya nyuklia haijawahi kuwa kubwa zaidi. Marekani na Urusi, mataifa mawili yenye silaha za nyuklia zenye...
Omb 5:4 SUV
[4] Tumekunywa maji yetu kwa fedha; Kuni zetu twauziwa.
Kilio hichi kilikuwa cha Waisraeli wakiwa utumwani, walichokuwa wanalalamikia ni vile vitu vya msingi walivyopaswa kuvipata...
Taarifa zilizotolewa kuhusu madai ya “mwanajeshi wa Marekani” kukamatwa Tarime zimeibua maswali mazito kuliko majibu. Kutaja jina lisilo la kawaida kama Onkuri Ongeta.
Pamoja na picha...
Moto mkubwa umewaka maeneo ya Keko muda huu na tayari umeleta taharuki kwa wakazi wa eneo hilo.
Vikosi vya zimamoto bado havijaonekana hadi sasa ili kufanya jitihada za kuudhibiti.
Chanzo cha...
Wakfu wa Thabo Mbeki wasema Tanzania Haina Serikali Halali Baada ya Uchaguzi Mkuu, yasisitiza mazungumzo ya wazi
Wakfu wa Thabo Mbeki umetoa taarifa ukieleza kwa masikitiko makubwa kuwa Uchaguzi...
Wizara ya Afya Zanzibar imewasimamisha kazi wauguzi wawili kutoka Hospitali ya Mkoa Lumumba kupisha uchunguzi kufuatia tukio la mtoto wa miezi minne kuharibika mkono kwa madai ya uzembe wa baadhi...
Msigwa, tunakushauri kama kweli serikali yako haikuuwa watu kuanzia tarehe 29 October, muwapeleke CNN kwenye mahakama husika za kimataifa . Msiishie kulalamika. Maana mnaonyesha kwamba CNN...
Jana nilifanikiwa kupita maeneo ya makazi ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) pale Ukonga, Dar Es Salaam.
Ni makazi duni sana, yamechakaa, hayastahili kukaliwa kwa sasa! Japo sijawahi...
Habari Tanzania !
Sasa leo nataka kuwauliza hivi hakuna uwezekano wa kupata Viwanja vya kutosha; endapo tukifunika hiyo Bahari ya Hindi pale Kigamboni na Kurasini maana naona kama hilo eneo...
Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu...
Kinachofanyika sasa naamini wengi walishasema ndiyo kitafanyika na sasa ndiyo kinafanyika
Kila mmoja atajifanya anafanya kazi kufukuza watu kazi kusimamisha na kuigiza wapo upande wa wale...
Wakuu, October mwishoni hadi November mwanzoni internet ilizimwa.
Sasa kuna watumiaji wa unlimited internet kutoka Airtel tulikua tushalipia, lakini kwann ilo week hawajafidia? Tarehe yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.