Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inakuwaje waendesha mashitaka wanaletewa kesi na polisi na kuwashitaki wananchi kwa makosa ya kusingiziwa yaliyowazi kabisa pasipo kuhoji? Inakuwaje hakimu anaona kabisa kesi iliyofunguliwa na...
0 Reactions
1 Replies
158 Views
Mimi naanza na hawa 1. Prof Utajua hujui 2. Tito Magoti 3. Bongo Zozo Endelea na listi hapo chinii
1 Reactions
1 Replies
235 Views
Hapo Mkutanoni wapo Mawaziri wa Saudi Arabia na UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu) Waziri Wa UAE: Na niruhusu niseme hili kwa Kiingereza ili uweze kuelewa ninachosema. Siku itakuja ambapo tutaona...
1 Reactions
12 Replies
524 Views
Girishoni hajaongea kitaaluma, bali ameongea kisiasa. Nguli wa taaluma ya habari, Walter Lippmann aliwahi kusema "In opinion we seek two sides, but facts have no two sides" Akimaanisha Maoni yana...
3 Reactions
6 Replies
315 Views
Ikiwa serikali inaamini kuwa kanisa la askofu Gwajima walikuwa na kosa why walifungulie kanisa hilo? Hili sio suala la “favor” isipokuwa ni kukandamizwa kwa uhuru wa kuabudu kulikofanywa na...
11 Reactions
31 Replies
1K Views
Program ya Chrome inafanya majaribio ya kuzuia Tovuti kuweza kujua Eneo ulilopo na kuwapa uwezo watumiaji wa Android kuweza kudhibiti data zako kuwa salama. Ukitumia app ya Google chrome...
1 Reactions
1 Replies
183 Views
Hivi hawa wahuni wa CCM wanawezaje kutuziba midomo tusiongee? Uhuni na ukatili wanaotufanyia watanzania? Wameua ndugu zetu gizani ushaidi tunao kwenye simu zetu halafu hao wahuni wa CCM bila aibu...
0 Reactions
3 Replies
208 Views
BARUA KWA ROSE. Yah;Mbali na nyumbani na Kudra za Wazee. Naam, nakuomba Husika na kichwa Cha habari kilicho Hapo juu. Mimi Rafiki na ndugu yako, Kaka yako Bathoromayos (mama) na...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Photo: fintechassociation.africa/ Kwa zaidi ya miongo miwili, tawala nyingi za mataifa mengi ya Afrika zimekuwa zikikabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi kuhusu ukosefu wa utawala bora...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Wale wanaotumia njia ya barabara ya Chang'ombe - Keko Dsm kuna MOTO mkubwa unawaka ktk moja ya majengo ktk eneo la keki furnuture upande wa kiwanda cha SUMA JKT. Nadhani barabara itakuwa...
3 Reactions
11 Replies
583 Views
Mitandao ya kijamii imekuwa majukwaa muhimu ya mawasiliano na hata kuchangia katika mtindo mpya wa mawasiliano ya moja kwa moja kati ya viongozi wa Afrika na raia wao. Kote barani, Marais na...
1 Reactions
4 Replies
516 Views
Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma, Michael George Mabuga Msonganzila, amewataka waumini na viongozi wa dini nchini kutokubeba jazba wala kujiingiza katika mijadala ya matusi, lawama na kejeli...
0 Reactions
3 Replies
310 Views
Huwezi kusema umebinya uhuru halafu mpaka nyumba yako unayotumia dishi la tv kuangalia tv kusema umebinya. Msigwa najua upo hapa JF ila kumbuka kwa sasa kuna vifaa vinatumia hata TCRA wako na...
4 Reactions
19 Replies
714 Views
Kwa sasa mtu anayejiona kuwa utawala huu ni sukari kwakwe ni wazi kukuchoma ili kuokoa uhai wake na familia yake. Polisi,wenyekiti wa CCM,wabunge wa cmm,madiwani wa ccm,usalama TISS,wanajeshi wa...
2 Reactions
1 Replies
270 Views
Sasa hivi ukilipa kwa kutumia lipa namba ni kama unakomolewa. Makato yameongezeka maradufu mno. Yajayo yanaogopesha
5 Reactions
29 Replies
971 Views
Utangulizi: Maandishi haya yanawajia ndugu zangu baada ya matukio kadhaa yaliyojiri katika nchi yetu. Mwandishi ameona ikiwa ni vyema tukapata mda wa kukaa na kutafakari japo kwa njia hii ya...
0 Reactions
1 Replies
132 Views
Sisi watu weusi tunashida sana tunafikiria uhai unabeba kila kitu kwenye tawala za maisha yetu. Marehemu ruge aliwahi kusema ogopa teknolojia na Mungu tu. Ni kwamba Mungu yupo kwa uhai ila...
0 Reactions
5 Replies
294 Views
Kuna muda hata sheria inaweza kukufanya kujua sheria ili mradi ubongo uwe unakwenda na wakati na muda. Gwajima alipotaka haki kuhusu utekaji na hapo hapo alifungiwa makanisa bila serikali kutoa...
2 Reactions
3 Replies
237 Views
Back
Top Bottom