Huu ni udhalilishaji mkubwa wa Jeshi la Wananchi (JWTZ)
MAFWELE ilivuja SAUTI akiongea na Polisi kuwa wamewakamata Wanajeshi watatu wwnasapoti Maandamano ya #MO29 na kwa maelezo yake wale...
Mawazo haya nimeyatoa kwenye Biblia: Kutoka 34: 29-35. Musa alivyoshuka mlima wa Sinai, alipokuwa anafanya agano na Mungu, Haruni na wana wa Israel waliona ngozi ya uso wa Musa ikiwa inang'aa sana...
The Embassy expresses deep concern about the violations of human rights that took place in Tanzania recently. The right to life is an undisputable human right, to be protected by all. We call for...
Nimewaletea picha maridadi za yule shekhee wa mchongo limbukeni wa elimu duuniya, aliyesema atakata watu vichwa baada ya kuhongwa pilau na dullah..
Anaitwa Ibrahim Bakonzi, asili yake ni...
Rais Samia ili kulinda heshima yake aliyoijenga muda mrefu kwenye siasa ni vyema washauri wake wamshauri kuwajibika kujiuzulu
Wote tunajua na kutambua uongo na ulaghai wa iNEC kuwa Watanzania...
Habarini,
Mida ya mali chakavu za Serikali zinazouzwa kama vile fenicha, magari n.k imekuwa ikifanywa na Watumishi wa Serikali na mhakiki mali ambao kiuhalisia wanaleta urasimu mkubwa kwenye fedha...
Yaani unapigwa waraka mmoja takatifu halafu wao kimya. Kimbembe ni kujifanya unajaribu kuujibu. Mimi nilishangaa sana wale jamaa wanatoka Frontline kuupinga na kuanza kuingiza mambo ya emotions...
Viongozi wa Tanzania, yaani unamkopesha fedha mwanafunzi anayeanza chuo ambaye hana uhakika nae kama atamaliza chuo na kupata kazi halafu unamnyima MKOPO wa biashara mwanafunzi aliyemaliza chuo au...
Wakuu habari za wakati huu.
Samahani, nimekuja na mjadala tata kidogo ila nitafurahi kama wachangiaji watatoa hoja zenye mantiki tofauti na kuzozana pasipo misingi. Sijasimamia upande wowote...
Wale wazee wa jalalani njaa imewaibua toka jalalani. Naona wameandika barua kwa boss wao kuwa asipowalipa stahiki zao. Wanakiwasha mapema tu.
**Fikiria PhD kasota Miaka kibao ila posho ndogo tu...
Serikali yaonya juu ya maandamno ya Desemba 9
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, imetoa wito kwa vijana na wananchi kulinda amani na kuepuka kushiriki...
Kama Sio Mungu na akili za kusurvive basi nisingekuwapo Nyumba yetu imetawaliwa na matobo ya risasi, kibaraza watu walichokuwa wanaketi watu ilibaki kidgo wamwagwe utumbo.
Nilikuwa mlangoni...
Watoto wakiume naona kama ni ngumu sana kusaidiana. Nahisi kama Mungu ananijalia kipato ili niwainue ndugu zangu.
Yaani ninahisi nina jukumu hilo mabegani kwangu, Ila kuna mkubwa wetu mmoja wa...
Hvi hii mentality ya kudharau GPA ni Duniani kote au hapa Tanzania kuhalalisha ujinga wa kundi Fulani, maana maneno Yao mengi utaskia GPA za ngono sjui rushwa sjui vyuo vya kata Tena anasema GPA...
"Kumekuwepo na taarifa zisizo sahihi kwenye majukwaa mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii zikitoa maelezo tofauti tofauti kuhusu suala hili wengine wakidai kwamba Umoja wa Ulaya (EU) umefuta...
Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha...