Adha ya usafiri kutoka jiji la Dar Es Salaam kwenda Mikoa mingine nchini bado imekuwa kitendawili ambacho kila Mwisho wa mwaka hasa mwezi wa 12 kinakosa kutenguliwa. Inaelezwa kuwa kwa mwezi wa 12...
Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of...
Hiyo ndoto kuwa mtakuja kuwa rahisi kaja kukatiza samuya.
Msitarajie hata kwa bahati ya CDF mstaafu mabeyo.
Kwa sasa tumeona nchi walizoshika wanawake na mwisho wa siku wengine wamehukumiwa...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne...
Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord"
Kilichonishtua zaidi Tanzania...
Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt. Abubakar Bin Zubeir, amewata Watanzania wanaoishi nje ya kutumia fursa zilizopo huko ili kujenga uchumi wa Tanzania, kukiko kutumika kuvuruga amani iliyopo.
Mufti...
Mtuambie basi mnasimama na watawala (mafisadi) au mnasimama na wananchi?
Mbona unafiki wenu unataka kuvuka grade zote za hapa duniani?
Kwahiyo mpo ladhi kufuta ushirika mshiriko wenu kisa tu...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa baadhi ya picha zilizokuwa zikisambaa zikidai kuonyesha kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) umevamiwa si za matukio ya...
Tunaamka kesho tunabakiza usiku mmoja.
Watu sio waoga kama mnavyodhani 9D watu wapo barabarani we kama muoga baki ndani kwani hata vitani wanawake, mashoga(unfit),na vilema hubaki ndani...
Ukweli usemwe, viongozi wa Tanzania kila siku ni kutoa speech, mara sijui tuwe wazalendo, mara tujenge nchi, mara taifa letu ni imara, mara utasikia hatutavumilia viongozi wazembe, mara sijui...
Kuna dalili zimeshaanza kuonekana huyu mfungeni kamba kama msipo fanya hivyo mnaenda kujifunga wenyewe.
Utekaji umekuwa mkubwa sana yani leo hata ambaye sio mpinzani anatekwa.
Ili kundi kuna...
Wakuu,msada kwenye tuta tafadhali,kama kichwa kilivyojieleza hapo juu,niko mtupu kabisa kwenye engo hiyo,nmejaribu ku gugo sjapata chochote cha maana.
Naomba wakuu mnisaidie hili.
Nawasilisha...
Badala ya watu kuandamana wakaamua kutojihusisha na jambo lolote la kiserikali ,wafanyakazi wa serikali mfano madaktari wagome kwenda hospitali kutibu, walimu wagome kwenda shule kufundisha ...
Wakuu kama mna kumbukumbu ni kwamba tarehe 6 sept 2025 mamlaka ya mawasiliano iliifungua JF kwa siku 90 kutokana na makosa walioona wao kuwa JF wamekiuka.
Na kwa siku 90 ni kwamba zinaisha kabla...
Raisi John Magufuli alitoa hotuba ya kuzungumzia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa Stiegler Gorge kwenye mto Rufiji.
Kwenye hafla hiyo Misri wamekuja na wajumbe...
Kuna mambo ukiyawaza sana unabaki unawaza hawa watu wamekuwa je?. Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 ambao ulikuwa ni sehemu ya waharifu kujitangazia ushindi wa kishindo wa uongozi...
Mohamed Ali Kibao alalamikia ukimya wa mamlaka kuhusu mauaji ya Baba yake, Mzee Ali Kibao, awashauri Rais na Waziri Mkuu kukiri yaliyotokoea
Zaidi ya mwaka mmoja tangu kuuawa kwa Mzee Ali Kibao...
"Wapo wananchi ambao bado wanahofu na wapo ambao nimeona wameenda sokoni wananunua vitu vya muda mrefu kwamba labda kutakuwa na 'lockdown' sisi kama kamati ya amani katika mkoa wetu tunaamini bado...
Rwanda ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeanza uzalishaji wa silaha za ndani, ikiwemo magari ya kijeshi, silaha, munisyoni, na drones. Hii ni hatua kubwa katika kuimarisha sekta ya...