Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wapo wengi waliopotezwa na kuuliwa kabisa ila wengi waliacha ujumbe wa kishujaa. Hawa ni moja ya tuliowafahamu: SOKA: “ikitokea nimepotezwa, msilie pambaneni na msikubali usaliti.” MDUDE: “Kama...
9 Reactions
5 Replies
345 Views
Mimi mzee wenu kijana wa zamani napenda kuomba msamaha kwa niaba ya vijana wa zamani kwenu Gen Z tulishindwa kupambana kuweza kuhalalishwa uvutaji wa bangi. Siyo eti tulikosea hapana, tulijaribu...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Huko pakistan, wengi wa watoto wa kike wanapozaliwa wanatupwa na mama zao kutokana na utamaduni uliopo katika jamii zao wa kupendelea zaidi watoto wa kiume. Pakistan ni moja ya nchi duniani ambazo...
0 Reactions
19 Replies
736 Views
Aisee yani kama anajiogopa kila mtu anamuona ana msaliti. Kanogewa na madaraka mpaka kufikia kuweka mashushu wake toka visiwani kila idara ili ukileta jambo la kukataa basi unaliwa kichwa au...
3 Reactions
12 Replies
414 Views
Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na...
4 Reactions
5 Replies
302 Views
Ujumbe wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura, alioutoa Septemba 18, 2025 jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa majadiliano baina ya MCT na waandishi wa habari...
0 Reactions
3 Replies
181 Views
Maelezo yafuatayo kwa msaada wa Chatgtp yatakuwa msaada mkubwa sana endapo tutarejeshwa tena gizani. Kama kauli mbiu ya 9D inavosema wakati huu hatuendi kinyonge. Basi ungana nami hatua kwa hatua...
19 Reactions
71 Replies
3K Views
Namba 9 katika numerolojia ni namba ya mwisho Kwa sababu Kila namba katika maarifa hayo Inaweza kupunguzwa na kuwa dijiti moja. Inawezekana pia baadhi ya wataalamu kupunguza namba kuu "master...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
MUISLAMU: USIKALIE MATUSI Ambayo yanakupeleka jehanam Kuukosoa Ukristo mlianza ninyi pale Mnazi mmoja hasa mwaka 1996 ambapo Mazinge alikula kofi zito kwa ahadi yake mwenyewe. Baada ya hapo...
29 Reactions
291 Replies
7K Views
Maandamano ni haki ya kikatika ila sasa kwa mikono yao iliyoshika damu na utamu wa madaraka unaweza kufikiri waka kubari. Maandamano haya yanataka waachie nchi.Ndio maana wamejiandaa kwa...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Leo acha nitoe ya moyoni hi kitu sisawa,. Aisee nimezaliw kwenye uisilamu na nimekulia kwenye uislamu na mpaka hivi Sasa nipo na dini yangu,ila...
77 Reactions
171 Replies
4K Views
Hii song inamzuka kweli ya kuonesha mabadiliko. Naongeza sauti kubwa kwenye gari najipitisha kituo cha polisi maana kipo barabarani.
1 Reactions
7 Replies
250 Views
Nimefika leo asubuhi mji wa madini Shinyanga nikataka supu tu wala si chochote wanakwambia supu bila chapati hawauzi. Ina maana hata ukitaka wali dagaa watakwambia dagaa ni wa ugali tu
3 Reactions
16 Replies
524 Views
Kuna mambo yanaweza kuonekana madogo ila sasa yanaanza kuwafanya wengine kujutia huko walipo na makampuni yao. Ila jambo la Tanzania sio dogo yani duniani sasa linajulikana kuwa nchi iliyojaa...
15 Reactions
24 Replies
1K Views
SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za uzembe, usimamizi dhaifu na ubadhirifu dhidi yake na...
4 Reactions
10 Replies
426 Views
Wakuu msaada kwa wazoefu wa dar tafadhali kuna jamaa najiita mwanapunda org. Ni kampuni maaulumu ya kuuza na kununua pikipiki. Kuna chuma 1 inauzwa m. 1 nimeona kunitumia wanaweza nibadilishia...
7 Reactions
176 Replies
8K Views
Napenda sana Wanawake wenye Uthubutu kuanzia katika Ngazi za Familia, Jamii na Siasa Na huwa hawatishwi na lolote / yoyote
0 Reactions
20 Replies
383 Views
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesaini hati ya Makubaliano (MoU) na Kampuni ya Africa Global Logistics (AGL) Tanzania Ltd yenye Makao Makuu yake Nchini Ufaransa ambayo ni kampuni...
2 Reactions
15 Replies
694 Views
Hata Nyerere aliwahi kusema hajui nini maana ya jina Tanganyika. But as for me, baada ya kutafakari kwa kina nimejidhirisha kwamba ifuatayo ndio maana halisi ya jina " Tanganyika" . Tanganyika...
11 Reactions
47 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation Mzee Joseph Butiku ametolea ufafanuzi wa taarifa zilizosambaa mitadaoni zikimnukuu kwamba anaunga mkono maandamano ya Disemba 9,2025 na vurugu...
1 Reactions
10 Replies
429 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…