bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 836
- 2,805
Msimbazi poliai total energies zimepigwa utepe hadi sheli za faya vp hatujazoea kuna nini
Hawatoi huduma mpaka watakapofungua tena.Msimbazi poliai total energies zimepigwa utepe hadi sheli za faya vp hatujazoea kuna nini
[emoji16][emoji23][emoji23]Unajifanya hujui au sio
Homa ya maandamano ya Amani D9Msimbazi poliai total energies zimepigwa utepe hadi sheli za faya vp hatujazoea kuna nini
Wanajeshi wapo wanalinda hizo sheli?Wanajihami na wahuni waliopanga kufanya vurugu kesho!!
Inawezekana kwa kuwa wateja wengi wamesafiri hivyo wateja hamna,huu ni mwisho wa mwaka uliokuwa na mambo mengi na muda ulikuwa mchache!Msimbazi poliai total energies zimepigwa utepe hadi sheli za faya vp hatujazoea kuna nini