Kikwete ndiye rais mstaafu pekee aliyebaki hai mpaka sasa , hivyo neno lake kwa namna moja au nyingine lina nguvu
.
Kabla ya uchaguzi, Kikwete alikuwa anaonekana sehemu mbalimbali tena utakuta...
Sina hofu na vijana Gen z
Hofu ni adui wa maendeleo millenia hofu zao zinapoishia wao Gen Z ndo ujasiri wao unapoanzia
Mpaka ukaone Gen z anahofu basi mellenia muda huo kashafukiwa futi 6 chini...
Jana kuanzia saa 2 mbili usiku tarehee 8 December kuna mambo ya ajabu yalikuwepo ila tunajua ukiona sehemu moja jua na kote si mnasema watanzania ni wa moja.
Vituo vya polisi kuanzia vidogo na...
Musa wa kwenye uislamu alikua mwoga mwoga ambaye siku zote alijisitiri mwili wote kwa nguo, hadi Waisraeli wakawa wanamsema kuwa ana ukoma au maradhi fulani ya ngozi, sasa ili mungu wa waislamu...
Baada ya kumuona tabia zake hatuendani nikaamua kumpiga stop asifike kwangu tena.. Na waraka rasmi nikamuandikia usomwe na watu wake kwamba hana kibali tena ya kutia matendegu yakwe kwangu
Kumbe...
Rais Samia hapendwi na mamia ya watanzania, ila sasa kinachofanya watu wasitamani maandamano yawepo wakifikiria suala la maslahi.
Wengine wakienda kazini wana uhakika wa kukunja laki 5 na...
Haya yanayoendelea Tanzania kwasasa kuna muda natamani yasiishe. Vyombo vya ulinzi vinapiga kazi mpaka unasema yees walikuwa wapi muda wote?
Yaani unamkuta mwanajeshi kasimama barabarani siku...
Hii kauli ya serikali watu wabakie majumbani si rafiki hata kidogo ..Si wakazi wote wa Mji wa Dar
Wanamajumba wengine wanaishi na kulala usiku unampukutia ..kwa mfano Bodaboda, wamasai ...
Mtu yeyote anayelipinga Kanisa Katoliki asitumie Biblia, atumie kitu kingine; kwasababu Biblia ni kitabu cha Kanisa katoliki. Historia inadhibitisha hilo kwa sababu Yesu alikuwa haongei na...
Kwa mujibu wa sayansi watu wote Duniani wametokana na nyani au sokwe mtu (chimpamzee) hivo maisha au uhai ulianzia afrika kisha kusambaa duniani kote. Ila mazingira ndiyo yalifanya kukawa na...
Kwa mujibu wa World of Statistics, Tanzania ipo katika nchi 30 ambazo watu wake hawana furaha zaidi duniani. Tanzania ipo nafasi ya 12
30 Unhappiest countries in the world
1. Afghanistan 🇦🇫
2...
Eze 13:20 SUV
[20] Basi Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni kinyume cha hirizi zenu, ambazo kwa hizo mnaziwinda roho za watu kama ndege, nami nitazitoa katika mikono yenu kwa nguvu; nami...
Birth Dates: October 23 – November 21
Element: Water
Colors: Deep red, red, rust
Nature: Fixed
Day: Tuesday
Lucky hours: 6:00–7:00 AM and 1:00–2:00 PM (converted from 12–1 Asubuhi and 7–8 Mchana)...
Simbachawene: Maandamno ya Desemba 9 ni haramu, mtandao utazimwa hali ikiwa mbaya. Polisi wafuate sheria wanapokamata mtuhumiwa, hakuna kuvaa kininja
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...
Tundu Lisu ilibidi aachiwe tangu November 3 baada ya samia kuapishwa .
Naona umepita mwezi sasa tunaona kimya, kesi haisikilizwi na yeye bado hajaachiwa.
Au je mamlaka husika wanaona nchi bado...
Njia rahisi ambayo haihitaji nguvu kuwakibili polisi ni kujitenga nao kwa kila kitu kwenye jamii.
Jamii ikishikana vizuri ihakikishe hakuna kumuuzia kitu chochote polisi , kama kuna shule binafsi...
Vyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro:
1. Mito mikuu:
· Mto Wami - unaopita Morogoro mjini
· Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu
· Mto Mkondoa
· Mto Ngerengere
2. Milima na Mito...
Poleni sana watanzania kwani tumepata waziri mkuu kilaza kuwahi kutokea, yaani anachokifanya ni upuuzi kiwango cha lami. Ameshindwa kabsa kuelewa kuwa kauli za viongozi ni dira ya taifa.
Ni...