Pole sana ila umepewa hela au umepoteza hela?Katikati ya mambo magumu hivi Kuna mtu anafanya muamala na kuweka namba yangu.
Hili limeniuma mno 💔
41092 kama upo humu njoo PM nikuelekeze jambo
View attachment 3512202
Anyway D9 mstari wa mbele kabisa
🤣🤣🤣🤣Aaah sio vizuri mkuu,yaani nilijua hii curfew ya D9 naishi kibosi kumbe Kuna mtu kaweka tu namba yangu asee
Nilikosea digit moja. Samahani lwa isimbufu