Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba,
Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa
Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno...
Habari wa juu
Nimekuja hapa kwa lengo moja tu natafuta mtu wa kunishika mkono anayejihusisha na mambo ya madini
Mimi ni kijana wa miaka 26 nipo Dar es Salaam
Lengo la kuja hapa ni kuomba kama...
Muda mfupi sana CCM walivyokutumia kama wamekuweka kabitini kabisa.
Yani ulivyoingia ulikuwa unaisema CHADEMA mpaka ukakosa cha kuongea.
Shukuru jina lako la mwisho kidogo anatembea msemaji wa...
Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa tumefungulia huduma ya maji, maeneo yafuatayo yatapata huduma;-
Sinza A, Sinza C, Mabibo, Kigogo, Mburahati, Kwa...
Utaona hilo kwenye comments walizotoa kwenye picha zilizopostiwa jana wakati rais Samia anazungumza na wakuu wa Kamandi na viongozi wengine wa jeshi. Why?
Je, wananchi wamepoteza imani na jeshi...
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam.
Maboresho makubwa na uwekezaji unaoendelea kufanywa katika Bandari ya Dar es Salaam yamekuwa kivutio kwa mataifa mbalimbali ya Afrika na Ulaya kuja kuangalia na...
Zile pesa zilizochangwa za CCM na list kubwa ya matajiri mpaka timu ya mpira ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi wa uchaguzi.
Pesa ile ilitumika kuonga idara za ulinzi na tume ya uchaguzi ndio maana...
Ni masaa machache sasa kumekuwa na mjadala mkali uliosambaa kama moto porini kuhusu ununuzi wa mipira 193 kwa Sh. 13,510,000 na Mbunge wa Ludewa, Mheshimiwa Joseph Kamonga, akikumbwa na lawama...
Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye...
Kuna ajira zimetangazwa na Public Service Recruitment Secretariat juzi ambazo zinaendelea kufanyika?????.
My worries, isije kuwa mbinu ya kuwapoza GenZ kuwapotezea watu muda na fedha...maana hawa...
Sihangaikii chochote naacha nature iamue!
Sihofii chochote
Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata
Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani
Habari za Uzima WanaJamiiForums.
Kuna kitabu Nimekipoteza ktk mazingira Nisiyoelewa, kinaitwa UCHAWI UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA Cha mwandishi MUNGA TEHENANI wa FAMILIA YA JITAMBUE.
Huyu Bw...
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea kuwajengea uwezo Watumishi wake kwa kuwapa mafunzo ya namna bora ya kusimamia masuala ya Itifaki na kuhudumia wageni mbalimbali wanaotembelea hifadhi...
Unatoka nyumbani saa 12 kwenda ofisini, unarudi nyumbani saa 2 usiku
Kimsingi ni kwamba unaishi kazini ila nyumbani unarudi tu kupatembelea
Na huu mzunguko ukiufanya hadi miaka 55-60
Kimsingi...
Hawa Wayahudi aka Jews waliuawa sana na Hitler. Mamia elfuu....
Wapalestina wanaua Wayahudi mpaka Leo.
Jana wameuawa huko Australia, Yani Baba na Mtoto wake wamevamia sherehe zao na kuuwa 15...
Kwa salute ya uhakika na ya Kibabe kama hii ambayo GENTAMYCINE nimeipenda hakika walioogopa na kuufyata Kuandamana Kindezi (kwa Kudanganywa) na Wapuuzi waliopo Marekani na Kenya waliona mbali sana...
Tanzania imepiga hatua kubwa katika miundombinu, utawala na huduma za kijamii. Hata hivyo, changamoto ya makazi mijini bado inaonekana wazi kupitia wingi wa vijumba vidogo visivyo rasmi, ambavyo...
Huyu msanii domo kaya aka mond.Unatamka kuwa una mchukia baba yako alafu na yeye hapo hapo ni bingwa wa kuzalisha na kuacha.
Ni kweli ni amini mtoto akilelewa kwa mama anaweza kuwa na tabia ya mama.
Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka...