Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Matukio Tanzania yanatisha sana. Sehemu ambayo iliona tukio la wavaa soski na bunduki tena ni serikali wakijua kuwa umeonesha walichokifanya basi umekwenda na maji. Kwa sasa kabla ya kwenda...
1 Reactions
5 Replies
285 Views
TRA Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti. Mitihani ya usaili wa kuandika (Written Interview) kwa nafasi ya Engineer II ilikuwa tofauti...
0 Reactions
7 Replies
904 Views
Pamoja na maombi yote mabaya kwa Yericko Nyerere kwamba asipate tuzo za mwandishi Bora wa vitabu afrika kwa mwaka 2025 na kwamba tusimpigie kura, na watu kudhania tuzo inaenda kwingine, katika...
0 Reactions
10 Replies
454 Views
Si vibaya kuuliza Wakazi wa kigamboni kibada na mjimwema hadi cheka nadhani mnajionea sehemu ya barabara imevunjwa vunjwa alafu imechwa hivyo hivyo full vumbi mpaka sasa sijapata jibu kama...
1 Reactions
4 Replies
362 Views
Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa tumefungulia huduma ya maji, maeneo yafuatayo yatapata huduma; -Kimara Mwisho, Korogwe, Bucha, Kona, Baruti, Msewe...
1 Reactions
23 Replies
483 Views
Tuna tafsiri roho kama moyo na moyo kama roho! Ni makosa makubwa tunafanya...! Roho si kitu cha kuona kwa macho kusikia kwa masikio wala kushika kwa mikon. Roho haina mfano bali ni jambo la...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF?. Naomba msaada WA anayejua Yale magari ya nyonya mavi Yako chini ya mamlaka Gani?, na je nikiyahitaji niende ofisi Gani?, na kama Kuna anaye jua bei ya kulipa gari ikija...
4 Reactions
25 Replies
792 Views
Ni muda sahihi wa kujongea vitandani mwetu, nyumbani chumbani ama ugenini kwa ndugu jamaa na marafiki ama nyumba za wageni. Usiku huu kama ilivyo siku nyingine zozote ama mchana wake kuna mambo...
75 Reactions
281 Replies
43K Views
Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo...
4 Reactions
91 Replies
944 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Kigamboni, na tunakabiliwa na changamoto ya barabara ya kutoka Mjimwema hadi Dege. Barabara hii ipo karibu na makazi ya watu, na katika ukarabati wa sehemu zilizoharibika, lami...
0 Reactions
9 Replies
415 Views
Tuwatengenezee shida ya maji kwa kusingizia mambo ya mvua .Tuzuie vyakula kutoka kwa wakulima kuingia mijini ili tuseme Kuna uhaba wa chakula watu waweke hifadhi za chakula..Tuwakatie umeme...
2 Reactions
5 Replies
220 Views
Tuliwaasa acheni proganda zenu za ovyo. Mzungu hasa Marekani hawezi kuwa mnafiki hata siku 1, yaani huyu USA mwenye sauti kwenye taasisi zote za UN aje adanganye Kwa vikao vyenu vya uchochoroni...
6 Reactions
20 Replies
524 Views
Shalom, Kati ya Truck Mechanics (ass job) na Electronics ipi bora kwa ngazi ya VETA? Na ipi inaweza kuwa na muendelezo mzuri hadi kufikia levels za juu? (Specialisation sio lazima diploma ama...
2 Reactions
5 Replies
229 Views
Sijui kwa nini wana muamini huyu jamaa na media uchwara zikimpa umakini. Una kwambia ana udongo wa upako sasa.
4 Reactions
13 Replies
453 Views
Taarifa zote zinazohusiana na upatikanaji wa huduma ya Internet Tanzania kupitia kampuni ya Starlink zipuuzwe na Serikali pamoja na Wananchi wake Kampuni ya Starlink inayosimamiwa na Elon Musk...
4 Reactions
115 Replies
2K Views
Inasikitisha Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza Mobile toilets China? SIDO mmeshindwa kuunganisha mabati hayo yawe mobile toilets? bado mtadai nyongeza ya Mshahara Mei Mosi?
5 Reactions
18 Replies
864 Views
Moderator unapenda kupangia uzi ila za CCM ofisi za abduli wakisema vipi uwezi kuzifuta naomba usibadilishe chochote. Nashukuru Mungu kunipa uhai mpaka sasa nilipo kwa wazungu wenzetu wanaacha...
2 Reactions
3 Replies
234 Views
Karasha kuna ajali mbaya sana Costa na gari ya polisi. Kalasha ya mlowo. Tatizo hawataki kutoa taarifa Kamili wahusika. Au ndo walikuwa kwenye gari? ==== UPDATES; 17 Desemba 2025 =====...
0 Reactions
7 Replies
429 Views
Na nimependa zaidi Kauli yao UN kuwa kilichotokea Tanzania wala hakikuwa HATARI sana bali ni CHANGAMOTO pekee. Haya HATERS wa Tanzania ya Samia, Serikali na CCM karibuni mtututakene Watu tulio...
3 Reactions
90 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…