Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nandy alitangaza show tarehe 19 dec arusha. Leo tarehe 20, je alifanya hiyo show au kapima upepo kaona show itadoda?
10 Reactions
15 Replies
836 Views
Mathew anaandika: “Ndipo lilitukuzuwa neno lilienunuliwa na Jeremiah mnaprofeta, likasema, Walipewa shekeli thelathini, thamani ya yule aliyethaminiwa, ambaye baadhi ya wana wa Israeli...
0 Reactions
9 Replies
243 Views
Hii si habari ndogo. Hii ni ushuhuda unaojitokeza wenyewe kutoka kwenye Injili zenyewe. Yesu kulingana na Injili: Aliwachagua wafuasi kwa bahati mbaya: wavuvi, mtoza kodi, watu wa barabarani...
2 Reactions
34 Replies
573 Views
SHUGHULI zangu zinanifanya nisafiri kila uchwao na njia kuu ninazotumia ni BARABARA, na kupitia kwenye stand zetu zilizojengwa kwenye HALIMASHAURI mbalimbali. Nikianza na stend kuu ya Magufuli...
1 Reactions
3 Replies
249 Views
Hapa ni orodha ya matukio yaliyotikisa nchini tanzania 2025 Maandamano na Mauaji ya Raia (Oktoba 29) Maandamano makubwa dhidi ya serikali, ambapo maelfu ya raia waliuawa au kujeruhiwa baada...
2 Reactions
9 Replies
391 Views
TAARIFA MUHIMU KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KIMARA, UBUNGO, MWENGE, MASAKI NA MUHIMBILI 21.12.2025 Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA MAJI KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa...
0 Reactions
3 Replies
321 Views
Unaambiwa huyu mjapan ndo anashikilia rekodi ya kupiga puli kwa muda mrefu. Akivunja rekodi iliyokuwepo ya masaa 9 na dakika 33 kwa kuweka rekodi yake mpya ya masaa 9 na dakika 58. Rekodi...
2 Reactions
16 Replies
351 Views
Kwa haraka haraka ukitazama hiyo picha unaona nini? Je ukiitazama kwa makini unaona nini? Basi hayo ndio maajabu ya Allah
17 Reactions
113 Replies
3K Views
Mimi sio nabii ili kabla ya tarehe 31 mtaona majaabu😄😄 Red black dosho12 Vincenzo Jr secretarybird Moisemusajiografii hamis77
3 Reactions
10 Replies
220 Views
Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali mawili ambayo naomba msaada wenu. 1. Nini madhara ya kuishi na figo moja? 2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi...
8 Reactions
121 Replies
49K Views
Giza ambalo Yohana hakuliona: Kuanzia saa sita mchana, giza likatanda juu ya nchi yote hadi saa tisa alasiri. (Mathayo 27:45) Ilipofika saa sita mchana, giza likatanda juu ya nchi yote hadi saa...
5 Reactions
136 Replies
4K Views
Guys sasa hivi ukigombana na mtu au kwa namna yoyote ukapata jambo linalokulazimu kwenda kituo cha polisi kushitaki aisee kama ni mtu samehe tu na kama ni deni la pesa angalia namna nyingine ya...
15 Reactions
22 Replies
1K Views
Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni...
21 Reactions
59 Replies
2K Views
Katika "mwisho mfupi" wa Injili ya Marko, baada ya kufufuka kwake "inayodaiwa", Yesu hakuonekana kwa mtu yeyote. Mathayo alihariri (kubadilisha) hili na kumfanya Yesu aonekane kwa wanafunzi wake...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Kutokana na uhaba wa maji jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imetangaza ratiba ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa mpango wa dharura kwa wakazi wa jiji hilo...
2 Reactions
19 Replies
801 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza kufufua na kuhuisha visima virefu vya maji ili kupunguza nakisi ya maji ndani ya mkoa wa Dar es Salaam na mikoa jirani...
0 Reactions
2 Replies
276 Views
Kwa makala hii, Utaelewa sababu na kiini cha mgogoro na chuki ya Waislamu kwa Wayahudi. Waislamu kuwachukia Wayahudi sio jambo la ajali, kila jambo lina sababu na asili yake. Hakuna siasa ya...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Uraisi ni Kama sherehe tu halafu raisi ni Kama bwana harusi na Bibi harusi. Ukiwa na harusi hata ya gharama kiasi gani hakika watu wako wengine ndio hufaidi zaidi. Hata ukaagiza semi ya soda...
0 Reactions
1 Replies
128 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuelekea mwisho wa mwaka nimekuwa nikitoa baraka kwa watu wote Lakini leo ni special kwa dada yangu Yasinta Makwabe Ubalikiwe na KRISTO...
2 Reactions
2 Replies
263 Views
Mwanaume uwe umeoa au upo bachela kurudi home mapema ni ushamba. Mwanaume unatakiwa kurudi walau saa 4 au 5! Issue za kuwahi kurudi home kuangalia tamthiria za Sultan sijui Siri za familia na mkeo...
31 Reactions
122 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…