Kama umesoma biblia vizuri kabla ya uumbaji wa Adam and Eve basi tayar kulishatajwa kwamba kuna kikundi cha watu kimechaumbwa Genesis 1:27 says “male and female he created them” so this means...
Ndugu wanajf ninamaumivu sana , mgeni wangu amefika kunitembelea jiji X akitokea Mara.
Tumepiga stori mbili tatu nikamuuliza vipi fulani yupo wapi siku izi mbona kimya sana na simu haipatikani ...
Nimeangalia mahojiano yake na namshangaa pale alipokazania Lissu na Heche wanahusika ktk vurugu za October 29.
Licha ya Odemba kupinga hoja hio kwa kuonesha jinsi ya vyombo vya dolla vinafanya...
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha...
Yeah, nchi kama nchi haina tatizo, tatizo ni hao walioko kwenye serikali.
Ndoto za wengi zimeyeyuka na kutoweka na zinaendelea kuyeyuka kwakuwa walioko huko serikalini ni genge la wabinafsi sana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu Benedicto mallaba kilichotokea Disemba 19, 2025.
===
Mhe. Dkt...
Waislamu mnisaidie hapa. Allah alikuwa na nani kipindi wanawaumba majini na mtu?
Quran 15:26
Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
15:27
Na majini...
Habari za muda huu Wanajamvi,
Hii Kampuni ya TTCL ni sikio la kufa na wala halisikii dawa tena, haifanyi vizuri kwenye mawasiliano ya simu kawaida wala kwenye Internet. Mimi nipo Dar es Salaam na...
Inasikitisha sana kuona muuaji bado anadunda tu na afya na kiburi juu.
Mtu ametengeneza maadui zaidi ya 60 million, wanaomuombea kifo kila siku.
Mtu ameteka na kuwapoteza watu wa rika zote...
Mabinti zetu waliopelekwa kufanya kazi uarabuni kutokea Tanzania wanasoma huko uarabuni baada ya kushindwa kuvumilia unyanyasaji wanaofanyiwa na waajiri wao huko Oman.
Inasemekana wazi Hana hao...
Leo nilikuwa napekua historia ya dunia huko mtandaoni katika kuilisha ubongo chochote kitu , nikajikuta nawatafakari sana Marais ambao mwisho wao ulikuwa mbaya sana.
Tukianza na Gaddafi , Huyu...
Serikali ya Rwanda imechukua hatua ya kufunga maelfu ya makanisa ya kiinjili nchini humo, kufuatia ongezeko lake la kasi ambalo limeibua wasiwasi miongoni mwa mamlaka za serikali.
Mamlaka...
Niwasalimu watu wa ukumbi huu,
Kwanza niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ,hapa nataka kuongelea kuhusu kitu kinaitwa ''haki''. Je ,dunia ya leo kuna haki na watu wanaweza kudai haki...
Unawaza nini?
Unakumbuka nini?
Je unakuogopesha?
Je inakuumiza?
Je inakuogopesha?
Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments
Karibuni kwa mjadala...
Kwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi mkae mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena
Sasa hivi kila mtu anasema kama...
Jinsi ya Kurejesha Nguvu ya Kiroho
Urejesho ni nini
Urejesho ni kitendo au mchakato wa kurudisha kitu katika hali yake ya kwanza kwa kufanyia ukarabati au kwa kukisafisha. Ni kitendo cha...
Akielezea umuhimu wa Haki katika kutunza Amani ya nchi yetu mwanajf Pascal Mayalla amesema ili Amani iwepo ni lazima haki zilizotolewa na Katiba ya JMT ya 1977 zitekelezwe ipasavyo
Pascal amesema...
Serikali imelitangaza eneo ulipokuwa mgodi maarufu wa dhahabu wa Buzwagi kuwa sehemu ya kujengwa eneo maalumu la kongani ya viwanda “Buzwagi Special Economic Zone” baada ya kuhitimishwa kwa...
Warning.! This thread is for people with ability to speak and understand English. As native speakers or second language. Those who cannot understand should just recite some lines from the Quran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.