Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo...
5 Reactions
9 Replies
332 Views
Ukiacha DNA test ambayo ni ghali na yenye process nying. Unaweza kujua Kama mtoto ni wako au umesingiziwa kwa kutumia Blood group. Iko hivi. Blood group ziko 4. A au AO B au BO AB (au A na B) O...
6 Reactions
74 Replies
2K Views
Ni siku za mwisho wa mwaka huu wa 2024, kila mmoja wetu ana fanya tathimini yake binafsi, familia jamii na hata taifa kwa ujumla. Kila kunapo pambazuka hatukosi jipya la kujifunza, ikizingatiwa...
7 Reactions
16 Replies
707 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetangaza kupiga marufuku vitendo vya uchomaji wa matairi wakati wa sherehe za kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026, likisisitiza kuwa litachukua...
1 Reactions
3 Replies
164 Views
Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh...
1 Reactions
4 Replies
192 Views
Hiyo Marekani inayozuia watu kuingia ni ipi? Ni hii inayotetea ulawiti au nyingine? Kosa kubwa wanalofanya Marekani ni kuamini kuwa wao ni Watakatifu sana, hawakumbuki kuwa wanaishi na laana ya...
4 Reactions
183 Replies
2K Views
Yaliyotokea October 29 wanashindwa kufanya wajifiche vipi ili dunia wajue kuwa tanzania ni ya amani. Heka heka za mkesha msipo kuwa makini mtajikuta kwenye Tume na kusema imechunguza sana.
4 Reactions
3 Replies
174 Views
Habari za mchana wakuu, Ikiwaa tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 huku wengine wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya...
30 Reactions
136 Replies
7K Views
Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo. Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi. Na pia sio ushindan na hakuna zawad...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Tangu jana kuna maandamano ya kupinga mamlaka ya IR Uchumi umekuwa mkali mnoo lakini zaidi manyanyaso ya agents wa ayatollah ni ya kiovu sana. Its funny kwamba iran ina pesa ya kufadhili jihad...
10 Reactions
50 Replies
1K Views
Leo tarehe 30 Desemba 2025, Mimi, Wakili Mzee Mpale Mpoki, na Wakili Hekima Mwasipu tulikwenda kumuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, katika Gereza la Ukonga. Yu katika hali ya afya...
8 Reactions
13 Replies
508 Views
Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara...
11 Reactions
37 Replies
1K Views
FAMILIA YA WAHHABI NA NGUVU YA ILLUMINATI KWENYE DINI YA KIISLAMU ILI KUTIMIZA MALENGO YAO. Illuminati walikuwa hawamtaki tena Shah, na Khomein ndiye aliyekuwa kibaraka wao mpya. Akiwa hapo...
4 Reactions
9 Replies
929 Views
Utangulizi: Je, Unatamani Kwenda Dubai Kufanya Kazi? Fikiri Tena! Kila siku kwenye mitandao ya kijamii kuna video na picha za maisha ya kifahari Dubai — magari ya kifahari, majengo marefu, maduka...
64 Reactions
264 Replies
14K Views
Kurasa rasmi za Serikali zimekuwa jukwaa la familia ya Samia? Kurasa rasmi za serikali na wizara zake katika mitandao ya kijamii kama Facebook, X (zamani Twitter) na Instagram ziliundwa kwa lengo...
4 Reactions
8 Replies
408 Views
Binafsi sioni kama Rais Samia ana makosa ambayo yeye ndiye Rais wa kwanza kuyafanya, Kama ni mambo ya kutekwa yalikwepo toka enzi ya Dr Ulimboka Kama ni uchaguzi wenye udanganyifu ccm haijawahi...
2 Reactions
20 Replies
506 Views
Wakuu, umofia kwenu! Nimepata kazi kwenye Private - NGO ambayo take home ni 3Mil kwa mwezi. Nataka niache kazi Serikalini ninakolipwa laki 9 (Kabla ya Makato) kwa mwezi. Niko kada ya afya hapa...
32 Reactions
301 Replies
33K Views
Wakuu, Kumekuwa na madai ya uongo na kupotosha hapa kwa muda mrefu hapa kuwa Lwakatare ndiye alisimamia ndoa yangu. madai haya yalitolewa kwa mara ya kwanza na Tundu Lissu hadharani na tangu hapo...
6 Reactions
162 Replies
16K Views
Zamani watu waliokuwa wanaishi Mwanza walikuwa na hali ya amani na upendo wa juu. Watu wa maeneo ya Mwanza ya zamani walikuwa wakifahamiana karibu kila mmoja. Mfano vijana wa kirumba ,kitangiri...
4 Reactions
30 Replies
667 Views
Back
Top Bottom