Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Vyombo vya Habari pamoja na Waandishi wa...
Kuna wale wadau wa Nyama choma kila weekend lazima mtu awe location flani hivi halafu pembeni kuna rhumba inasikika stress zote za wiki zinayeyuka . Wiki hii GPS inakusoma upo wapi ? Au wapi kuna...
Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Watanzania wapoteza imani kwa Vyombo vya...
Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Absalom Kibanda, akizungumza katika mdahalo wa “Kalamu za Waandishi Zinaandika Nini?” kupitia Stars TV, amesema kuwa ikiwa utawala wa sheria utazingatiwa, vyombo...
Nimemsikiliza mjeda huyu, ndugu, na POLEPOLE. Kuna mahali ametaja Mdude ni miongoni mwa watu kadhaa wanaoshikiliwa mahali fulani.
Itoshe kusema kama yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe na...
Kitabu hiki kina hazina zilizofichika kwa wengi. Waswahili wanasema kizuri, kula na mwenzio. Leo napenda kukushirikisha baadhi ya faida nilizozipata baada ya kuanza kusoma Kitabu hiki na ku-apply...
Katika mitandao yote kwa hapa Tanzania ni JamiiForums tu ndio utakuta nyuzi na majadiliano magumu yenye kufikirisha bongo na hata kuumiza akili.
Mitandao mingine yote ukiondoa wanaharakati...
Kwenu mnaoenda kugraduate mimi mzee wenu nimezunguka nchi mbalimbali nimeona mambo mengi mno nawaletea mambo niliyoyaona, kwako kijana unaeenda kumaliza chuo na nyie ambao bado mko chuoni...
TANESCO ni nini hiki mnatufanyia wakazi wa Mbezi Beach? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme, mnarudisha mnakata tena!
Ni mazoezi ya utayari kupokea El Nino, vile mtakavyokuwa mnachezea switch...
Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums.
Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na...
Kuna mjadala ambao nimekuwa nikifikiria kwa muda kuhusu mahusiano, ndoa, na namna ambavyo baadhi ya wanaume wanavyoangalia wanawake.
Mara nyingi vijana wa kiume huambiwa:
“Usioe single mother.”...
Sijui kama ni uchovu, presha ya maisha au mambo yamezidi tu…
Kwa siku hizi najikuta niko kimya sana. Kuna mambo napitia ambayo si rahisi kuyaeleza kwa mtu, na ukweli ni kwamba nimefika sehemu...
Tafadhali mheshimiwa sana rais Samia ulipata ushindi wakishindo wa 98% tafadhali tumia gari la wazi kuhutubia au kwenye viwanja vya wazi tukuone.
Kuna jambo natamani kunena nawe kwa vitendo...
kwamba nina miaka 40 sina gari wala nyumba lakini leo chuo kikuu cha mzumbe nimehitimu shahada yangu ya tatu na kutunukiwa PHD....je haya sio mafanikio...
Maisha yanaenda kasi sana
Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi
Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum
1.Hupata taarifa za pamoja...
Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio.
Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani...
Wanaume watatu wamekutwa katika chumba kimoja eneo la Msasani, Kitongoji cha Oloresho, Kata ya Moivo, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, katika mazingira yaliyoibua mashaka miongoni mwa Wananchi...
Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi Mheshimiwa Haji Fundi Haji ametoa rai kwa wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza kwenye Kata ya Bondeni na kwamba Kata hiyo ni salama .
Ametoa rai hiyo...