Hivi karibuni hili jengo limekuwa gumzo sana hapo Dar
Nini kinaendelea humo nasikia majanja na mawinga wa Kariakoo huwaambii kitu na huo mjengo inapohusu kutoboa kibiashara
Mara kuna habari...
Jua lilikuwa limefichwa na mawingu mazito siku ile ya mazishi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. John Kijazi. Uwanja wa mazishi ulikuwa kimya, ukitawaliwa na sauti za ndege wachache waliokuwa wakiranda...
UTENGUZI
Kupitia kurasa Rasmi za Crown redio na Televisheni wamethibistisha kuwa Rais wa Crowm media ametengua uteuzi wa Kikeke kama kiongozi wa Kipindi cha " Kasri".
"Rais wa Crown Media Bw...
Binafsi naipinga serikali batili ya CCM na Kila jambo lake .Lakini nafikiri kama kuna kitu Hawa wanaojiita wanaharakati wanakosea sana basi ni utoaji wa taarifa hovyohovyo, Tena za upotoshaji .Hii...
Ningependa kuwasilisha masikitiko yangu kuhusu hali ya Kijiji cha Shabaha, Kata ya Mabogini, ni eneo linalokuwa kwa kasi, likiwa na idadi kubwa ya vijana na watoto, lakini linasahaulika katika...
My people,
Milio ya ndege za Kivita na mabomu yanasikika katika mji wa gaza,kwa wakazi wa Gaza haya ndio maisha yao ya kila siku
Kutana na Fatema binti wa miaka 24 mzaliwa wa Gaza ambaye katika...
Naandika nikiamini Ulishawahi kujiuliza kuhusu kivuli chako ama la kusikia walau kuhusu ushirikina unaohusisha kivuli. ...Lakini naamini kabisa hukuwahi kudhani kuwa unavyo vivuli vitatu
Vivuli...
Jarida hili litakuelimisha na kukupatia taarifa mbalimbali zinazohusu masuala ya uchumi na sekta ya fedha nchini, hususani yale yanayoratibiwa na kusimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania kwa mujibu wa...
Wale wa kishua wanaweza wasinielewe sana. Ila wale wanaotoka familia za hali duni kama mimi mtanielewa.
Ukishapata ajira rasmi hasa serikali ndugu huja kama manyingu kutaka misaada. Hiyo inakuwa...
Itakapofika uchaguzi mkuu 2025, mtu aruhusiwe kupiga kura kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa kutumia mifumo ya mobile money.
Pawekwe kipengele cha kupiga kura kwenye menu, ambapo atachagua...
Kwa Kipindi Kirefu binadamu wameishi kwenye Uelewa hafifu wa Kuhusu mwisho wa Dunia, hii inaweza kuwa ni kwa makusudi au kwa bahati mbaya.
Kuhusu mwanzo na mwisho wa DUnia asilimia kubwa ya...
Imagine unaishi kwenye nchi X ambayo maji yanaweza kukatika hata siku 7 bila sababu za msingi
Na hapo nchi X ina mito mingi, maziwa mengi na bahari ipo sehemu kubwa tu, na ukichimba chini maji...
Habari wana jamvi, poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa letu.
Naomba niende kwenye mada hapo juu, ni hivi:
Shule ya Tunduru Jamhuri Academy ni shule ya serikali inayosajiliwa...
Wuiii uuuruuuu wiyooo ni huzuni na maumivu. Jana tu tulikuwa na furaha Chief Godlove kafulia baada ya habari kusambaa mitandaoni magari yake yakichukuliw.
Vijiwe vya umbea na vibaraza...
Inakadiriwa ifikapo mwaka 2050, kizazi cha wa-Afrika wenye akili mgando kama ilivyo sasa kitakuwa kimetoweka. Kizazi cha wakati huo kinabashiriwa kuwa na uwezo mkubwa wa kung'amua mambo kuliko...
Habari ndugu watanzania wenzangu, sera ya elimu kwa sasa katika shule za umma ni elimu bure yani wewe mzazi jukumu lako mzazi ni kumuandaa mtoto na kuhakikisha mtoto anafika shule, lakini katika...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2025, Tanzania ilifanya uchaguzi wake mkuu wa saba ambao ulikuwa na mafanikio makubwa ikiwamo kufikia asilimia 44 ya wabunge wanawake na kwamba uchaguzi huo...
Ujenzi wa wodi mpya ya Wagonjwa Mahututi (ICU) kwa ajili ya watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) umefikia asilimia 98, hatua inayotarajiwa kuboresha...
Hii sera ya elimu bure ilikufa na Magufuli. Kwa sasa elimu katika shule za umma ni gharama kubwa kuliko hata binafsi.
Bila Tsh 600,000 mtoto haanzi kidato cha kwanza.
Wazazi wananunua madawati...