Kamwe usijaribu kufanya ngono kwenye gari, lisipoharibika litapata ajali mbaya

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,640
697,994
Ogopeni kabisa huu mchezo ni hatari kwa afya na uzima wako na uhai wa gari pia. Kuna kitu cha kushangaza sana kwenye hili jambo! Vitu vya moto hasa vyenye mwendo havipatani kabisa na ngono, sijui kuna nuksi gani kwenye hili.

Nina mifano na shuhuda nyingi, magari makubwa kwa madogo, ya mizigo na ya abiria, yote ambayo yalihusishwa kwenye ngono hasa na michepuko ama na madanga kama yalinusurika ajali mbaya basi yaliharibika ubovu ambao hata kama ni mdogo vipi lakini fundi garage akakosea zaidi na kuongezea ugonjwa hata ukawa mkubwa kabisa.

Kwa kujitutumua kama ni ubovu garage unaweza kuurekebisha lakini hilo gari halitakaa liwe sawa, itakuwa trip job trip kwa fundi. Utahangaika nalo wee mpaka litake kukufilisi, na siku ukitaka kuliuza kwakuwa limekusumbua sana utakuta haliuziki ama utapata bei ndogo mpaka utajuta.

Magari mengi ya abiria hupata ajali zisizo na maelezo kwakuwa utakuta usiku wake kuna watu walilifanyia matusi. Magari mengi ya mizigo nayo ni hivyo hivyo, ubahili wa kwenda gesti na tamaa ya kile kitanda nyuma ya dereva vimewaponza wengi.

Makinika sana kwenye hili, kama ulishajaribu na ukasalimika mshukuru Mungu wako. Ngono hasa ya kuchepuka imebeba maroho mengi na kwa asilima kubwa mengi ni machafu na machafuzi!
 
Jamaa wewe jamaa....gari zote zingeishia kwenye mitalo
Haya kama huamini

Soma hii.

Yes, it's bad luck! Boyfriend and I have had sex in 3 different cars. First car he crashed once, hit a pole, got pulled over. Second was his moms truck & the cops arrived.. They let us off the hook bc they thought we were going to, they didn't know we had just got done.& his mom accidentally hits a car a few days later. & recent car his sound system catches on fire, his key breaks, gets pulled over... etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujanani nilitumia sana suzuki escudo yangu kufanya ufuska. Ndio gari ipo njema parking all time. Nadunda nayo all time hata kipindi hiki cha mvua.
Ni imani tu. Haina mashiko sana.
Makinika sana kwenye hili, kama ulishajaribu na ukasalimika mshukuru Mungu wako. Ngono hasa ya kuchepuka imebeba maroho mengi na kwa asilima kubwa mengi ni machafu na machafuzi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na huyo demu unaemkaza ana vipengele gani. Nilishafanyaga romance several times kwa chuma bila tatizo.

Ila kama demu ni mchafu wa roho na ana mikosi basi tegemea utapatwa na janga tu. Sikuwahi nunua disposable bitch ila siku nimegonga demu wa kununua nilimchapa nao kwenye gari na hio siku ndio ambapo nilipatwa na janga on the spot nikafungia funguo ndani kwenye gari kwa bahati mbaya nikiwa nimeegamia nje, nakuja kurudi na spare key nakuta waliifungua gari wakaiba nilikuwa na 300K nimeiweka kwenye storage compartment mojawapo kwenye gari. Hapo ndipo nikajua kuwa yule malaya alintia mkosi nikaenda kujisafisha mimi pamoja na gari.

Toka hapo hakuna kipengele. Na niliweka nadhiri sitakaa ninunua malaya kamwe mpaka siku naingia kaburini yani haitakaa itokee tena nichukue demu wa kujiuza.
 
Back
Top Bottom