Madhara ya msaada wa Trump nchini Nigeria yaanzaa kuonekana mubashara baada ya wanaume wawili wa dini ya kikiristo na kabila la Igbo innocent Okechukwu kumuoa mwenza wake na kubariki ndoa hiyo...
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza leo Jumatatu, Januari 19, 2026 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa ili kusherehekea ushindi wa timu ya taifa, Teranga Lions, kwenye fainali ya...
Baada ya Nest kusema inawaandaa vijana kua matajiri, ajitokeza kijana ambaye alifanya kazi kwa kupitia kauli hiyo hiyo na hajalipwa mwaka wa 3 sasa. Huyu kijana TRA lazima haimwelewi, Halmashauri...
Ofisi ya Afisa Utumishi Wilaya ya Kisarawe kuna Afisa utumishi anatoa huduma ya uafisa utumishi wake kwa malipo iwe unaomba akupitishie maombi ya mkopo, iwe unataka ufanyiwe recategoristion kwa...
Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki.
Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi...
Katika hali isiyo ya kawaida kijana "Brown Antony" amevuka kilometer takribani 900 ndani ya masaa 10 kutoka Mbeya-Dar Es Salaam kwa Pikipiki boxer HD 150...
Hii inakuja kutokana na ubishi kuzuka...
Katika jamii za wawindaji mara nyingi kuishi kwao(kupata mlo wa kila siku)kunategemea na kiasi gani wanachovuna mawindoni hivyo inawalazimu kutumia nguvu ,akili na maarifa ya ziada kuhakisha...
Ninaandika kuelezea hatari ya usalama barabarani hapa Makongo Juu, Dar es Salaam hali inayohatarisha maisha ya raia na watoto wa shule kila siku. Watu tayari wamefariki hapa. Ninaizungumzia...
Tumeshudia Nchi mbalimbali zikifarakanishwa na tamaa ya madaraka kwa baadhi ya viongozi wa vyama na vikundi mballimbali na kusababisha matabaka hofu na uvunjifu wa amani. Kama tuna malengo mema...
Nataka kutofautiana na serikali ili nipate pesa
Issue inakuja wapi ntapata bunduki hata risasi tano
Location
Wakala
Sheri
Min bank
Supermarket
Unemployment is real
Wakuu mko wapi
Kuna ile tovuti kubwa na maarufu zaidi duniani kwa ajili ya kupanga nchi zenye pasipoti za kusafiria zenye nguvu zaidi duniani ambapo kwa mwaka huu 2026 tayari wametoo orodha yao...
Uongozi waiomba serikkali kuwatimua bajaji, daladala na bodaboda kila Road kwani ushindani umkua mkubwa hivyo kupelekea hasara kubwa na kushindwa kulipa madeni ya mikopo pamoja na mishahara ya...
Basi ikifika segimenti ya Bonge utasikia ka Brabra Boonji...then wanataniana hapo aah uendaji kazini unakuwa muruua kabisa hata foleni huioni!!! Gone are the good days!
Jana nimeangalia report ya DW kuhusu mauaji
Serikali wanasema waliuwa waandamanaji, wezi na vibaka lakini cha kushangaza polisi walifika mtaani na majumbani kuuwa kila Mtanganyika aliyeonekana...
Naomba kufahamu je, zile nyaraka tano( barua ya kuachishwa, certificate of service na copy ya NSSF ID card)za kuambatanisha kwenye maombi ya mafao ni lazima ziwe na muhuri wa mwanasheria(kuwa...
1. Tulifanya kazi kipindi cha lockdown kwa sababu ya uchaguzi, tukajitoa muhanga kulitumikia shirika huku tukivuka mabomu na risasi za moto. Lakini cha kushangaza hadi wa leo hatujalipwa hizo...
Hili buti ambalo Chief godlove leo ameposti akituringia na kutudanganya kwa jazba na nyodo baada ya kuchekwa kafulia mitandaoni eti ni dollar za kimarekani 3500 kumbe ni euro 12 tu ambayo ni elfu...
Mkazi wa Dar es Salaam, Simon Bryson amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kugharamia matibabu ya mtoto wake Nilsa Simon kufuatia ombi lake kupitia...