Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Andika juu ya anga, chora juu ya ardhi, piga kelele zako hadi mbinguni, lakini ukweli hausogezwi. Nimechoka kusubiri ruhusa, ya kuwa mimi, maana hata upepo hauulizi kabla haujavuma. Wanazungumza—...
0 Reactions
1 Replies
111 Views
  • Redirect
Watanzania naona wamefika mbali sana , Nimeona video inasambaa mtandaoni inaonyesha askari akiwa amemshika Raia kama mtuhumiwa wametokea chumba kimoja wapo ndani ya bank Wakati anamwongoza kutoka...
1 Reactions
– Replies
– Views
Kama kichwa hapo juu kinavojieleza Mimi ni muajiriwa wa shirika kubwa tu la serikali hapa nchini (temporary Employment) miaka 9 sasa naona wazo linalo nijia mafanikio yangu hayatapatikana kwenye...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Mwalimu Mpwayungu Village amepotelea wapi Trending thread kama 1.Najuta kuzaliwa mwanaume😂✋ Huyu mwalimu yupo wapi amepotelea wapi ndugu mwalimu wa kiswahili.
7 Reactions
40 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna jamaa yangu anaitwa Michael amefariki jana na habari nimezipata leo kupitia accounts za washkaji zangu za Facebook pamoja na Instagram. Sasa ninajiuliza, kuna faida gani ya kuwa mtu...
1 Reactions
15 Replies
555 Views
Je, Kristo atakufa mara mbili ili akuokoe kwa mara ya pili? Na kama vile wanadamu wamewekewa kufa mara moja, na baada ya hapo hukumu, vivyo hivyo Kristo, akiwa ametolewa mara moja ili azichukue...
5 Reactions
111 Replies
1K Views
Kuna mikakati mingi sana inapangwa ili. 1. kuwasahaulisha Watanganyika na mauaji ya October 29 2. Kufubaza harakati za Gen Z 3. Kuzoezwa uongo ili kuutambua uongozi batili 4. Kuacha kujadili...
14 Reactions
29 Replies
645 Views
Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani. Ilikuwa ni mgahawa mmoja huko Tanga nilikuwa nimeenda kula. Rafiki yangu alinishauri kula hiyo...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Wakuu, Nimeshangaa hivi karibuni kujua kwamba kuna wilaya huko MKOA WA KATAVI inaitwa WILAYA YA TANGANYIKA. Yaan, JINA TUKUFU la TANGANYIKA limedharauliwa hadi kupewa wilaya? Ina maana...
13 Reactions
39 Replies
2K Views
Simulizi zinasema kuwa kuna watu waliwahi kupachezea na kuzindika mambo yao mahali hapo. Ndiyo maana kuna mambo ambayo ukifanya kinyume, yanakurudia mwenyewe kwa namna mbaya sana. Usiku giza...
21 Reactions
69 Replies
2K Views
Baadhi ya Polisi wanatuibia sana, mara kumi kitengo cha kui-track simu ikipotea kiondolewe rasmi, sio uongo wala nini, mara zote tukiibiwa simu tunaenda kuripoti Polisi. Loss report kwanza kwenye...
5 Reactions
14 Replies
399 Views
Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi. Wanaijeria...
4 Reactions
27 Replies
593 Views
Moja ya jambo lililozua gumzo katika fainali za AFCON 2027 huko Morocco, ni pamoja na ziara za Streamer maarufu duniani anayeitwa IShowSpeed kuingia katika fainali hiyo na kukutana na mashabiki na...
1 Reactions
16 Replies
378 Views
Simon Mnyola Baba mzazi wa mtoto Nilsa Mnyola amethibitisha kifo cha mtoto wake wake aliyezaliwa na tatizo la kichwa kikubwa (Hydracephalus) alipokuwa akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba ya...
2 Reactions
83 Replies
2K Views
Katika mkutano wa CAF uliofanyika hivi karibuni, Kuna kipande cha video cha mkutano huo kimeibua maswali mengi hususani kwa watu wa Afrika Mashariki, ikiwemo wakenya ambao kwenye kurusa za...
2 Reactions
41 Replies
900 Views
Mfanyabiashara wa Tanzania Mohammed Kiluwa ambaye ndiye Mwenyekiti/Mmiliki wa Makampuni ya Kiluwa Group Tanzania ( KG), amesema yupo tayari kuyaleta Jijini Dar es salaam Mabasi ya Abiria ya MAZ...
1 Reactions
4 Replies
234 Views
Kwa wajuzi wa mambo ambao wameweza kuishi au kusoma au kwenda tu matembezini abroad hasa nchi ya Uturuki Je mji mzuri wa kuishi ambao maisha yapo cheap kwenye nchi ya uturuki Izmir, Bursar...
4 Reactions
7 Replies
301 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba vya...
5 Reactions
9 Replies
292 Views
Anonymous (0166)
Habari Samahani naomba utusaidie kufikisha hii taarifa kwa wahusika. Wakazi wa Ubungo kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu, kunakua na gombania. Goli kwamba atakaeweza...
3 Reactions
5 Replies
247 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…