Kumekuwa na wimbi la baadhi ya members kubeza juhudi za umma, kudhihaki wale wote waliouawa kikatili na na serikali iliopo madarakani.
Wanaenda mbali zaidi na kutishia members wengine kuwa...
Wanaume hatuchagui kazi. Heshima kubwa sana kwenu
Ni sitory ndefu nitafupisha.
Mnano mwaka 2019 Baada ya kazi za hapa na pale hasa kazi yangu pendwa ya kilimo Cha umwagiliaji (bustani) kukumbwa...
Habari za Tanzania !
Hivi nyinyi watu wa Mkoa wa Mara mmeamua kwa dhati kabisa Kiwanda Maziwa kiwafie kabisa ?
Haya sasa tutapata wapi Maziwa Mgando yenye vifungashio vizuri na matamu kweli...
CCM kwasasa hamna rasilimali watu wa kutosha(quality and quantity wise) wakutegemeka na kutumainiwa na Taifa.
Mnaonekana kama mnalimudu taifa lakini ukweli ni kwamba uwezo huo kwa sasa hamna ni...
Hili suala limefikia hatua ya kunikosesha amani kabisa, hadi natamani kuhama mji kutokana na kushindwa kumlipa deni hili.
Mwanzo wa tatizo:
Nilianzisha biashara ndogo kwa kutumia mtaji niliokuwa...
Wakuu,
Naomba kuelekezwa mahali zilipo karakana na ofisi za SIDO Dar es Salaam.
Natokea Kimara, kwa usafiri wetu wa daladala nipande za kwensa wapi hadi nifike. Msaada tafadhali
Naomba Moderator iache uzi huu uwe huru tafadhali. Je kuikubali na kuitumia Biblia hiyo siyo kukubali alama ya Mnyama kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo wa Yohana? Karibuni tujifunze
Vipi nikikuambia... ulimwengu hausogei hadi WEWE usogee? 🌌
Watu wengi husubiri ishara, hatima, au ruhusa. Lakini ukweli ni huu—WEWE ndiye nguvu ya kutenda. Maisha huinama kulingana na mitetemo...
Nazishauri mamlaka pale Kariakoo wangezuia gari zote za binafsi kuingia eneo lile. Waruhusu taxi mtandao (drop off & pick up), boda na gari za mizigo tu.
Raia wote wateja na wafanyabiashara...
Hekaya za 'Kifo' cha aliyekuwa gavana wa BoT aliyeikimbia nchi kwa sababu ya kushiriki ufisadi wa EPA, bado zinaendelea kuvuma masikioni mwa watanzania. Na inaonekana watunzi wa HEKAYA hizi...
My people,
Kuna msemo unaonong’ona ukweli usiopenda kelele: maisha huanza ukiwa na miaka 40. Si kwa sababu ujana unaisha, bali kwa sababu akili inafunguka kama dirisha lililofuliwa vumbi. Hapo...
Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam wameiomba serikali kuangalia upya suala la raia wa kigeni kuendelea kufanya biashara ambazo zinapaswa kufanywa na wazawa licha ya hatua kuwahi...
Unakuta mwana alikuwa anapiga PCM pale pugu sec, ghafla akiwa prepo anaweuka na kuanza kuruka ruka, wanamrudisha nyumbani, cha kwanza wazazi wanachofanya ni kumpeleka kwa mganga anakaa mwezi mzima...
TANZIA-
Kwa masikitiko makubwa LINDA WA ATLANTA USA 🇺🇸 anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa MUME wake MALI KIMESERA kilichotokea leo alfajiri NYUMBANI KWAO— inshalah MAZISHI yatafanyika siku...
Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao.
Ila sasa hawa wa sasa hivi...