Habari wakuu,
Niko Dar es Salaam mwezi wa tatu kwa sasa,
Sasa nataka nikamalizie project zangu Dodoma kama miezi mitatu hivi before sijageuka tena S.A.
Gharama za guest au Air bnb ni kubwa sana...
Kwa miaka mingi mji wa Mbeya ulikua unatambaa kimaendeleo lakini tangu upewe hadhi ya jiji 2005 na upepo wa kisiasa kubadilika,jiji limeanza kukua na kutoa matumaini ya kua jiji shindani na lenye...
"ANGALIZO :
Kama huna ukomavu wa Akili - Hizi Makala zinazopostiwa humu usisome, Hizi Elimu ni kwaajili ya wachache wenye Ukomavu wa Fikra. Waliyo huru kufikiri bila mipaka ya Kiimani.
Haya...
Hivi karibuni, tumeshuhudia video mitandaoni kutoka kwa kina Photogenic Mtoto na kikosi chake. Wametupitisha kwenye madaraja ya kifahari ya meli mpya ya MV Mwanza "Hapa Kazi Tu", kuanzia VIP hadi...
●Kutoka katika kalamu ya Chriss Gabriel Mwaluko huu ni uchambuzi wa kina wa The Black Death. Hii si hadithi tu ya ugonjwa, bali ni ushahidi wa kipindi ambacho dunia iligubikwa na giza, hofu, na...
Kozi ya paratruping Zimbabwe iligharimu maisha ya mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka na ya emergency ilikuwa na hitilafu alidondoka umbali wa futi kama 500 akafa. Leo ni kumbukumbu. Miaka...
Huu ni utafiti wangu nimefanya kwenye miji mikubwa na hata vijijini kwenye kila mkoa hapa Tanzania
Ni Watanzania wachache sana ambao wanamudu kula milo 3 na hasa kipengele ni breakfast (mlo wa...
Mfano unakuta mtu kaweka status kanunua gari, kapata mtoto, kajenga nyumba, n.k. Mungu kawa mwema sana kwangu kunipa hizi baraka
kwa wakati huo wapo ambao wana magonjwa, ni masikini, hawana...
Maisha ya Watendaji wa Serikali za Mtaa baada ya Baada ya Oktoba 29, bado ni yaleyale, hakuna uwajibikaji stahiki
“Effects” au matokeo ya kilichotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali imetoa Shilingi Milioni 675 kutekeleza mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kituo cha Afya Mailimoja cha Manispaa ya...
Wanabodi nilikuwa napitapita huko mitandaoni nikaona Toyota wameachia rasmi chuma yao mbabe wa offroad na mshindani wa Hummer Toyota 2026 Mini Land Cruiser FJ,
Hii chuma bwana ni chotara yenye...
Wapiganaji wa kigeni wa IS walikamatwa wakati wa Operesheni ya Almiskaat huko Puntland.
Waliokamatwa wanajumuisha raia kutoka Uturuki, Yemen, Saudi Arabia, Morocco, Ethiopia, Syria na Tanzania...
Ndio sasa hivi watakuwa wanataniana kuwa mwenzangu ulikuwa unalenga vizuri, mwingine atasema kuna mtu nilimpiga ya kichwa alikufa namuona roho inaumia, lakini wengine wanaombea itokee Tena...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa matumizi ya ardhi unaomhusisha mwekezaji Rashid Kwanzibwa, aliyedaiwa kubomoa baadhi ya majengo yaliyokuwa kwenye maeneo...
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine.
Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za...
Nina uliza halotel wanamilikiwa na ccm au?
Tuna siku ya Saba uwezi weka Hela au ht kutoa Hela yaani wanahuduma za OVYO km vyoo vya HALIMASHAURI what's wrong with halotel in Tanzania?;
Soma Pia...