Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawaona mnavyochukiana mitaani na hapa JF kisa dini, nacheka sana. Hivi mnatambua ninyi ni MAFALA WASIOJITAMBUA? 😂 Yaani unamchukia ndugu yako, jirani yako, au mbongo mwenzako kisa tu mmoja...
5 Reactions
17 Replies
326 Views
Rafiki yangu yani best man, tulikua mkoa flani, hivi kusini MWA bongo, JAMAA qlikuwaga na DEMU wake HUKO KANDA ya ZIWA, akanitonya kuwa DEMU wake kamaliza CHUO HIVO kaona amlete HAPO mkoa tulipo...
5 Reactions
12 Replies
459 Views
Elimu ni wajibu, si urithi. kumsomesha mtoto hadi ngazi ya shahada ni haki yake ya msingi. Hata hivyo, hilo pekee halitoshi. Ni muhimu pia kumpa nafasi ya kujifunza ujuzi wa ziada, ujuzi wa...
6 Reactions
29 Replies
561 Views
Hawa anayewalipa ni nani? Anafaidika nini? Je, wanadhalilisha dhehebu au wanadhalilisha ukristo kwa ujumla au wanajiaibisha wao?
8 Reactions
12 Replies
414 Views
HAKUNA ATAKAEKUJA KUKUOKOA: Hakuna jambo linaloundwa special kwa ajili yako, hakuna muujiza wa kukuuokoa, hakuna rafiki atakae kung'oa katika hilo pito lako, hakuna malipo ya unyenyekevu wako...
15 Reactions
58 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,ametoa tuzo kwa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) ikiwa ni kutambua mchango mkubwa wa...
0 Reactions
3 Replies
218 Views
Kabla ya kubonyeza 'Kukubali' (Accept), hakikisha unasoma na kuelewa Sera ya Faragha (Privacy Policy) ili ujue jinsi taarifa zako binafsi zinavyokusanywa, kuchakatwa na kutumika.
2 Reactions
1 Replies
146 Views
Kasi ya utekelezaji wa miradi minne ya maendeleo katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefikia wastani wa asilimia 78.5, hali inayowasha taa mpya ya matumaini ya uboreshaji...
0 Reactions
2 Replies
138 Views
Nadhani kufanya kazi mochwari kuliniathiri sana.. Nilikuwa siogopi picha za kutisha.. Nilikiwa siogopi damu Nilikuwa Niki post picha za kutisha halafu watu wakaogopa nilikuwa nawashangaa sana! Ila...
17 Reactions
61 Replies
933 Views
Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI" AIdha ktk kuelimisha jamii...
5 Reactions
11 Replies
388 Views
Sheria mama ya Tanzania ( Katiba) inasema, umri wa utu Uzima ni kuanzia miaka 18. Sheria ya Makosa ya jinai ya Tanzania ( Penal Code), inatambua kama kosa la jinai, tendo la ngono Kati ya...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Redirect
"Katika nchi hii sasa hivi mafisadi sio wanapiga kidogo wanapiga kiuhakika ni walaji na ni walafi na wanafanya vitu kama vile wananchi wa sasa hivi hawana elimu, lazima tufahamu sasa hivi ukienda...
2 Reactions
– Replies
– Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema mahitaji ya maji katika Mkoa wa Dar es Salaam ni lita milioni 572, hali inayochangiwa na ongezeko la watu. Waziri Aweso amesema hayo leo, Januari 28, 2026...
0 Reactions
1 Replies
163 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuwalipisha wananchi bili za maji kwa kuzingatia uhalisia wa upatikanaji wa huduma...
0 Reactions
1 Replies
228 Views
Ukweli mchungu ni kwamba traditional media (TV, Radio, Magazeti) zipo kwenye kipindi cha mpito. Watu wengi wanahamia kwenye digital & on-demand content kwa sababu wanataka control (wao ndio...
26 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwanza niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya hasa kwa kipindi chenu cha mochezo kinachoongozwa na mkuu wa dawati bwana JEMEDARI SAID KAZUMARI Ushauri wangu n kwenu ambao mnaongoza kipindi yaan...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Katika hatua inayozidi kuipa nguvu ajenda ya ukuaji wa uchumi na maendeleo ya biashara nchini, Stanbic Bank Tanzania imeidhihirisha tena nafasi yake kama mdau...
2 Reactions
0 Replies
177 Views
Usiniulize nimejuaje, swali unalopaswa kuuliza ni kwa nini Cnn, bbc, fox, al jazeera hawaripoti japokuwa unakuta wamepata leak au kimemo😁 Ila ukweli ni kuwa wana usalama wa Marekani (CIA/NSA)...
3 Reactions
3 Replies
319 Views
Ningependa kujua radio na televisheni faida wanapataje wakati gharama za uendeshaji ni kubwa , kuanzia kulipa kodi, mishahara kwa wafanyakazi n.k.. Je faida inapatikana vipi katika hio biashara ?
1 Reactions
4 Replies
279 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…