My people.
Karibuni sana kwenye uzi wa Mastory ya Bey,hapa kuna mastory ambayo kuna kitu utajifunza au kukupa maarifa flani hivi
Hapa tuna segments mbali mbali kama quotes of the day,positive...
Afisa Elimu, Kazi na Jinsia kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE), Nsubisi Mwasandende, ameipongeza Tume ya Madini kwa juhudi kubwa inazozifanya katika kusimamia...
Mwaka 2006 ni kama juzi tu wakuu. Ila ndio miaka 20 imepita,haya ni baadhi ya matukio yaliyotokea 2006 na sasa yana miaka 20.
Juma Akukweti akiwa Waziri anafariki baada ya kuanguka na ndege huko...
Haya mambo matatu yamekuwa yakiwachanganya sana watu wengi
1 .Call , (Wito
2. Fate
3 . Destiny (Hatima)
Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha either kwa kutoelewa haya mambo matatu...
Yanayoendelea kuhusiana na Mangungu ni kuvunjiwa heshima yake
Kawaida hali kama hii ikishatokea basi njia sahihi ni kujiuzulu kwasababu kuendelea kuongoza matokeo yake ni kuzidi kuvunjiwa heshima...
---
Hatupaswi kukata tamaa kwa sababu ni hali ya kawaida ya binadamu kupitia changamoto, lakini pia tuna uwezo wa kipekee wa kukabiliana na kuzishinda. Kukata tamaa ni kizuizi kikubwa...
Maendeleo makubwa hayawezi kuja pasipo kufahamu changamoto zinazozuia mafanikio
JamiiForums kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika hasa katika maswala yanayoigusa jamii kwa ujumla...
Kwa miaka mingi, jamii ya kimataifa inavutiwa na maendeleo ya China, na kuna mabadiliko muhimu katika mwelekeo wa majadiliano—kutoka kuuliza “China imefanikiwa vipi?” hadi “China imewezaje...
Leo Februari 2, 2026, nikiwa katika harakati zangu, nilipita Stendi ya Daladala Mbezi Luis maarufu Mbezi Mwisho na kushuhudia ukarabati wa vyoo ukiendelea.
Awali, niliwahi kuona andiko hapa JF...
Hii ilikuwa ni mada kwenye kundi letu moja wakati wa mapumziko ya Christmas lakini kutokana na ubize wa watu hatukuijadili kwa mapana... Nimewiwa kuileta hapa kama mojawapo ya mada mpya za mwaka...
Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR, leo wamehitimu mafunzo yao ya wiki nne tayari kuanza majukumu yao Februari 02, 2026
Mafunzo hayo yaliyolenga kuwapa maarifa na...
Tangu warsha ya kwanza ya mafunzo ya Luban ilipozinduliwa mwezi Machi 2019 nchini Djibouti, China imeanzisha jumla ya warsha 11 za Luban katika nchi 10 za Afrika. Kwa kuzingatia falsafa ya...
Wakati uhusiano wa China na Afrika unaendelea kuimarika, vijana wengi wa Afrika wanachagua China kama kituo cha masomo, kujenga taaluma na kuunganisha tamaduni za kuvuka mipaka. Kuzinduliwa kwa...
Taifa limechoka liko hoi
Tanganyika iko hoi
Wananchi wamechoka
Waliojiteua wamechoka
Walioua wamechoka
Waliopoteza ndugu zao wamechoka
Waliotoa amri za shoot to kill wamechoka wako hoi hasa
Gen Z...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wiki iliyopita alikuja China ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi huyo wa Uingereza ndani ya kipindi cha miaka minane. Kupitia ziara hii Starmer anafanya...
Ndugu zangu,
Niwe mkweli kwa Nchi yangu niliyozaliwa. Jambo hilo pichani ni la kushangaza. Sidhani kuwa hiyo ni kazi ya DC.
Tunadhani si jukumu la DC kutumia muda wake kushuhulika na masuala...
Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikisikia kuhusu habari za nyota.
Hii nyota ni kitu gani haswa? Kwa mfano ukienda kwa mganga anaweza kuiona? Kwa namna gani?
Wengine husema nyota ni vipaji? Hivi...