Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa miaka mingi, baadhi ya wafanyabiashara nchini Nigeria wamekuwa wakijisifu sana kuhusu umahiri wao katika biashara, wakijiona kama miongoni mwa wafanyabiashara hodari zaidi barani Afrika...
1 Reactions
10 Replies
163 Views
Nimeona kuna idadi kubwa sana ya watumishi wa umma wanbet. Nini kimetokea wakuu?
4 Reactions
9 Replies
126 Views
1. Maagano ya Damu (Blood Covenants)Ulimwengu wa giza hufanya kazi kupitia maagano ya damu ya siri, ambapo kafara za wanyama au wanadamu hutumika kama sarafu kuu ya kiroho. Kwenye dunia ya asili...
15 Reactions
119 Replies
3K Views
hakuna kidumucho milele isipokuwa milele yenyewe Kaburi linachukuliwa kama nyumba ya milele kwa wafu lakini uhai wa mwili mfu kaburini si zaidi ya miaka 20, labda ile kumetumika njia maalum za...
14 Reactions
62 Replies
10K Views
Tangu uchaguzi wa chama Yericko ndio mwanachama pekee aliyekuwa anaelekeza mashambulizi makali kwa Lisu na alionekana kumtetea FAM kwa gharama kubwa sana,ilifika sehemu alisema FAM ni ALPHA na...
2 Reactions
17 Replies
238 Views
Naomba wajuvi wa mambo wanasaidie nifahamu ni kwanini wanajeshi wa marekani wanastaafu mapema ukilinganisha na huku kwetu?
2 Reactions
18 Replies
303 Views
Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana. Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati. Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa...
1 Reactions
2 Replies
87 Views
Hivi karibuni nimepata wazo la kufanya Biashara ya Internet ISP akiwa TTCL kwenye maeneo ya Sokoni au Center zenye watu wengi kwa kuweka WiFi mteja atalipia kwa njia ya Vocha (number maalumu)...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanaoendesha bar ni DJ na counter manager sio lazima tukujue ila ikitokea changamoto tunakutafuta
3 Reactions
8 Replies
98 Views
Mna kufuru sana nyie watu🤮🤢 Hamna kinyaa.
3 Reactions
42 Replies
598 Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri, Wenyeviti wa Halmashauri na Mameya nchini kuhakikisha maeneo ya Serikali na taasisi...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Ila safari channel ya sasa wao wakifanya kipindi kimoja tu kwisha? Yanachomeka flash drive, tunaangalia marudio ya mwaka 47 huku yenyewe yamekaa tu ndani na kupalilia mavitamvi yao ya...
9 Reactions
31 Replies
272 Views
SINGIDA Wataalamu wa sekta ya ardhi Mkoa wa Singida wakiambatana na wale wa kutoka Makao makuu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wametoa elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo. Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni...
14 Reactions
76 Replies
767 Views
Nimekosa namna ya kuweka Heading vizuri. I'm sorry 😔. Kwa uelewa wangu na uzoefu wangu Hadi nimefikia hapa nilikuta dhana kama hizi Mwanamke akiwa hedhi akiingia kwenye shamba la nyanya ama...
17 Reactions
90 Replies
915 Views
Mkurugenzi Msaidizi wa TEHAMA wizara ya ardhi Bw, Abisai Coy (kulia mbele), akifuatiwa na Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Martin (katikati mbele), na Bw. Pastori Masua Mkurugezi...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Anonymous (f4a1)
Waandaaji wa maudhui (content creators) nchini Tanzania tunaofanya kazi kupitia jukwaa la YouTube, tunakabiliwa na changamoto kubwa inayokwamisha ajira na fursa zetu za kiuchumi. Baada ya...
0 Reactions
0 Replies
30 Views
Hii wiki nzima ninaona habari za kuwa ufuska una athiri za kiroho kwa kubadirishana nishati hasi Hii issue ina uhakika gani?
2 Reactions
7 Replies
86 Views
Anonymous
Sisi wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo katikati ya jiji, Buhongwa, Airport na Ilemela. Kwa sasa, tunategemea daladala...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…