FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,045
- 40,705
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina Melinda gates na Mange Kimambi? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?
================================
Update: 17/07/2021
Mwingine huyu
================================
Update: 17/07/2021
Mwingine huyu
#COVID19 - James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania
17 July 2021 Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19...
www.jamiiforums.com