Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Filamu za bongo movie zimekosa mvuto kabisa hii ni kutokana na kutawaliwa na watu wanaoona kipaji ndo kila kitu. In fact kipaji bila maarifa ni kazi bure, Huwezi kuwa na idea za kuteka maskio na...
1 Reactions
0 Replies
416 Views
Heshima kwenu wadau wa jukwaa hili, Najitokeza kuulizia wimbo wa zamani kidogo jina lake limenitoka ila nakumbuka baadhi ya mistari yake ilikuwa 'samahani mama usiitoe mimba yangu naomba uinusuru...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
MY BOSS MY LOVE [emoji3589] NO:01 MTUNZI....... RITHA STORIES WHATSAPP.........0763836152 Kwa majina natwa Lilian Adrian jina la tatu mliache nitawatajia siku nyingine Mimi ni Binti wa miaka...
2 Reactions
18 Replies
20K Views
Nimechek series nyingi sana za mablack America ila mpaka sasa sijakutana na series kali kama hii kuanzia stori mpaka wahusika wake ni balaa. Itafute kama hujaichek
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri za nyimbo za gospel. Uimbaji wake unakonga moyo wangu natumahi pia kundi kubwa la watu kama mimi huvutiwi na uimbaji wake. Ombi langu Ni nyimbo gani za...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Hii ni list ya movies ambazo watu wenye uelewa fulani ndio wanavutiwa nazo zaidi 1. SHERLOCK HOLMES 2. INFERNO 3. INCEPTION 4. TENET 5. THE EXAM 6. THE BIG SHORT 7. INTERSTELLAR 8. THE...
10 Reactions
77 Replies
9K Views
Tazama video hii ukaone kadada kenyewe. Aisee nimekaelewa kinoma noma. Kwa sababu ndio aina ya mademu ninao tokaga nao. Unaposikia Likud kaenda sijui Lindi, Mtwara, wherever kutafuta mademu...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Habarini wakuu! Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashiriji🤣. Naanza mimi kusanua "Mr...
1 Reactions
11 Replies
551 Views
Vipi ndugu zangu. Vitu vitamu kama hivi hapo chini ni vigumu sana kuvipata kwa msanii mungine yoyote zaidi ya marehem Banza Stone: 1. Kisa cha mpemba. 2. Mwenye kwenu kwaheri. 3. Mtu pesa. 4...
15 Reactions
94 Replies
4K Views
Chorus: Hili joto hasira, ambaa Upepo hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa. Foleni njia nzima, ambaa Na pesa hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa VERSE 1: siku...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtoto kazoea hela 😄
0 Reactions
4 Replies
845 Views
Kundi la waruka sarakasi kutoka Tanzania liitwalo 'Hakuna Matata Acrobats' wanaendelea kufuata nyayo za 'Ramadhan Brothers', hii ni baada ya kutua kwa kishindo katika hatua inayofuata kwa kupewa...
1 Reactions
0 Replies
296 Views
Jamani moshi huo moshi huo! Nikiona moyoo unadunda tena 🎶 Alimaanisha nini huyu Mmakonde Harmonize? 😂
1 Reactions
2 Replies
834 Views
Hili jambo nimekuwa nikijiuliza muda mrefu. Ila kabla ya kwenda mbele, tupate maana ya 'Mfalme wa Muziki' fulani. Tuanze na mifano hii, ili kuweka mambo kwenye muktadha. James Brown ni Mfalme wa...
1 Reactions
3 Replies
576 Views
Hiili Jimbo huaga Kali Sana Wana wamelikubali Wameona watoe remix
2 Reactions
3 Replies
639 Views
Mimi siendagi kwasababu wasanii wengi hawajui kuperform live, wanachojua wao ni kusema "piga kelele" huku wakikata mauno na kukimbia kimbia. Wewe je?
5 Reactions
21 Replies
984 Views
SUPPORT YA MSANII SOGGY DOGGY ANTER KWA WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MKOANI MWANZA.. ____________________ ✍🏾 Bila shaka jina la Msanii Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a soggy doggy anter sio...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
THE BOYS drama ya kimarekani inayohusisha masuperheros au (Mashujaa kwa waswahili). Drama hii inaelezea Superheroes wenye ushawishi kwa umma waliyejiwekeza katika (siasa) wanasiasa, na wakati...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
NARINGA- ZUCHU Mh-mmh Nani Roney? Ah, Roney (he-hey, yoh Tron) Sing, mmh, eeh Let sing, come on, eeh Sioni aibu Kwa kila linalo nifika Maana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguki, mimi...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Kuna mnigeria mmoja kwenye mtandaoni anaposti kuzikejeli movie za kihindi wenyewe badala ya kukubali makosa wanamshsmbulia na kutukana Waafrika. Angalia kama hii hapa chini full utoto, sound na...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…