Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Baada ya miaka mingi ndio sasa tunaanza kumuelewa Diddy na janja janja zake. Wakati wanajua namna pac alivyokuwa analalamika kwa kuwaanganisha bad boys na tukio lake kupigwa ila bado waka toa...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Nikiwa kama mdau mkubwa wa muziki wa bongo fleva huwa naona kuna kitu kabisa kinamiss! Hawa wasanii wetu wa kuimba ambao tumekuwa tukiwaita wabana pua namna yao ya uimbaji huwa haishawishi kabisa...
12 Reactions
60 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Helo! Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya tuzo hizi umeanza. Pigia kura wimbo wako bora kati ya wasanii hao waliofanya vizuri Afrika kwa mwaka wa 2024.
2 Reactions
9 Replies
981 Views
Mzee wangu aliwah kunambia kuwa ntapata shida sana nikiwa mtu mzima dunia hii. Sabab aliniona ni mtu ninayependa na ku enjoy ukwel na hii imesababisha nikose hata marafiki wengi. Hizi movie za...
9 Reactions
56 Replies
6K Views
MWANA FA ( SONG - NAZEEKA ) Wote bado wana fuata mi ni kama mdundiko/ hata ujifiche wapi sauti itakufuata ulipo/ busara na maumivu katikati ya kauli zangu/ mimi ni kaka mkubwa jamaa msibishane...
0 Reactions
4 Replies
947 Views
Ukisikiliza nyimbo za kihaya na Design yake ya uchezaji, vikitumika vizuri tunapeleka Bongofleva kwenye Grammy. Grammy wanapenda vitu asilia, na sio vya ku-copy. Ukisikiliza hii nyimbo ya...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
[Blue] yep yep kushuka na kupanda, jana tumeshuka cheki leo tunapanda nimepata idea ya kusambaza kanda, nimepata show za kenya na uganda burundi na rwanda, twende pamoja twende tukasake chanda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SISTER P FT. UNIQUE SISTERS "NIMERUDI TENA" ""Nimerudi Tena nina maana katika fani/ nataka kukumbuka Enzi zangu za zamani/ niliposhika mic watu walinipenda/ nikawa kimya kidogo watu wakaponda/...
3 Reactions
7 Replies
943 Views
CHANGAMOTO ZA WALIMU KATIKA TAIFA LETU LA TANZANIA.. "kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:-...
0 Reactions
1 Replies
797 Views
THAMANI YA MWANAMKE KATIKA JAMII. Mwanamke amekuwa nguzo muhimu sana ndani ya familia pale ambapo mwanaume anakuwa hajui wajibu wake ndani ya famili , Hii imekuwa ina tokea katika nyakati...
1 Reactions
1 Replies
397 Views
UMUHIMU WA ELIMU. Dunia ya leo inahitaji utaalam/ufundi wa namna nyingi/Mbalimbali kwa mtu mmoja ili afanikiwe na kuwa kivutio katika soko la ajira na kuweza kwenda na wakati kulingana na...
1 Reactions
2 Replies
399 Views
BRONX FAMILY - MAMBO YOTE. "Huu ni mwanzo wa chimbuko wa Hip Hop ya Bongo walikuwepo Gwm, niggers 2 public na k wa kwanzania , Mic walishika wakiwa ma mc wenye vipaji ingawa kuna wengi walipinga...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
K ARATA DUME - AFANDE SELE Alichoimba kwenye Karata Dume kilitimia !! Baada ya mtoto wa afande sele mwana Dada " Tunda" kubukua mitihani kidato cha 6 mwaka 2019, Afande Sele msanii mkongwe wa...
1 Reactions
0 Replies
635 Views
Oiii wadau ivi ile show ya leo ya WCB pale Mwembe Yanga ilikuaje walijaza au ndo doroo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
From Football Pitch to YouTube Peak: Cristiano Ronaldo and MrBeast Discuss Fame, Football, and the Future of Content Introduction What happens when a football legend sits down with the king of...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Mkuu wa Mkoa alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huu. Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tumefurahia sana uzinduzi huu ila ninaomba tuletewe pia nyama pori katika festival hii ya nyama choma. ===...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Hbar ndugu zang! Zifuatazo ni ngoma kali za kale ninazokubali. 1.indemoni 2.kasongo yeye 3.Aarlus mabele . kwa wanaojua tuendeleze idadi,ahsante
1 Reactions
0 Replies
648 Views
Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina ni mmoja wa viongozi katika orodha ya wafalme wa Hip-Hop wa kizazi cha leo. Muziki wake umebeba falsafa, mafunzo na mitazamo inayogusa jamii...
10 Reactions
10 Replies
7K Views
Shyne "Jamaa ananipa 50k wakati huo ametoka kuspend 500k kwa mpenzi wake" Shyne ambae alikuwa mmoja wa entourage ya diddy wakati mtu mmoja alipopigwa risasi hadi kufa kwenye party, alikataa...
3 Reactions
0 Replies
436 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…