Fast and Furious ni Movies zinazonishinda kuangalia. wenzangu mnawezaje?

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Mzee wangu aliwah kunambia kuwa ntapata shida sana nikiwa mtu mzima dunia hii. Sabab aliniona ni mtu ninayependa na ku enjoy ukwel na hii imesababisha nikose hata marafiki wengi.

Hizi movie za fast and furious zina uongo wa kitoto mpaka zinatia kichefu chefu kuangalia. Mi zimenishinda kabisa... Movies zenye uongo sana huwa siziwezi maskin...movies za kufikirika zisizo na uhalisia nazo zinanipa shida nashindwa kuangalia.

Kuna wakat nataman nami niwe kama watu wa kawaida. Ni enjoy maisha lakini nashindwa...nmejitahidi sana ila nmefika kikomo.
 
Kipande kipi umeshindwa kuelewa nikusaidie kukuelewesha

ploudly ngosha
 
Kuna moja kwel ilikuwa na afadhar ila ya mwaka jana na hii ya mwaka huu... Duh huwa naona jamaa wanajisahau sana wanafikiria sis sote ni wale wale.

Sio zote. Hii ya 2017. Aka the fate of furious ni uongo mtupu tena wa kitoto. Ila tusiishie kuiponda tu...

1.163 billion USD box office sales only.
Hii ni kama tsh2.4 trillions ambazo last year tanzania ilizunguka dunia nzima kutafta mkopo wa kiasi icho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama thread hii tu umeshindwa kuelewa hiyo movie utaweza ielewa kweli? Maana thread haijasema movie haielewek wewe unakurupuka kutaka nafas ya kuelewesha wakat we mwenyewe hujielew na huelewek kama ni mwanaume au mwanamke
Kipande kipi umeshindwa kuelewa nikusaidie kukuelewesha

ploudly ngosha
 
Mzee wangu aliwah kunambia kuwa ntapata shida sana nikiwa mtu mzima dunia hii. Sabab aliniona ni mtu ninayependa na ku enjoy ukwel na hii imesababisha nikose hata marafiki wengi.

Hizi movie za fast and furious zina uongo wa kitoto mpaka zinatia kichefu chefu kuangalia. Mi zimenishinda kabisa... Movies zenye uongo sana huwa siziwezi maskin...movies za kufikirika zisizo na uhalisia nazo zinanipa shida nashindwa kuangalia.

Kuna wakat nataman nami niwe kama watu wa kawaida. Ni enjoy maisha lakini nashindwa...nmejitahidi sana ila nmefika kikomo.
Kwani kuna mtu amekulazimisha kutazama?

Send by Nokia 3310 from mbalizi-mbeya
 
Sema the fate u halisia umepotea kiasi chake kuliko zilizopita science fiction imekuwa mingi but still ni nzuri
 
Movies ziko aina nyingi kuna za uhalisia na fiction sasa ww sio lazima uangalie zote, chagua zinazoendana na ww, hata watengenezaji wanajua kuna watu kama nyie
Mwisho wa maelezo, asipokuelewa APA tutajua mtoa mada ana matatizo
 
Hizi fast&furious 5 na kuendelea za zimekua za kikuda tupu,full utoto na fictions za kutosha kwny movie zao.Nins zi rate 1/10

Tombatomba idevice Model TH 45
 
Back
Top Bottom