Wimbo wa Mr. Blue wa Tabasamu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,648
[Blue]
yep yep
kushuka na kupanda, jana tumeshuka cheki leo tunapanda
nimepata idea ya kusambaza kanda, nimepata show za kenya na uganda
burundi na rwanda, twende pamoja twende tukasake chanda
mungu akijalia unazuia kibanda, namiliki kiwanda
tuko pamoja, si ungefunga mkanda
yote kwasababu, unipe tabasamu
nimechoka mitabu, hii ndo tyme ya vitamu
unapendaga club? unanikumbusha long
after two weeks turudi dar es salaam

tumetesa sana baby, vibaya ukinikana baby
kuniona sina maana baby, ah ah ah baby

toka mchana alfajiri, chini utajiri
fake mpaka really, mapenzi sio siri
au kwakuwa tuko wawili
mapenzi ndo kama una siri

kama mabaya yanasemwa kila siku, daily
wazushi nao hawaiishi bifu, ha ha
maisha sio kutesa kila siku
japo pesa ndio kila kitu

[Steve]
tabasamu, nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
tabasamu, nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe


cheka kidogo ni wewe baby, nione tabasamu lako girl
ninaridhika, nafarijika, ukinuna utaniumiza roho
cheka kidogo ni wewe baby
ninaridhika, nafirijika eh SMILE!
tabasamu, tabasamu (babylon!) baby baby SMILE SMILE

[Blue]
I say weka miss smile, wacha mi nisebenze
achana na hao wanaosubiri mi niteleze
boogie nami superstar, tingisha hizo wezere
wezere, wezere, wezere
wakibana bongo, twende zetu kwa madebe
twende club zao twende tukaruke debe
skia hisia zao sio hisia ka za reggae
nawapiga bao kijuhudi kama chege
achana na wanga, wanga zao ni kutaga
mitaa ya upanga kule wanauza burger
unacheza charanga, unacheza ragga
hizia za kimanga sina hisia za kichaga
basi baby si ungecheka kidogo
hujui smile lako linaua mpaka vigogo
halafu uko natural wala hutumii mkorogo
pande za masaki mpaka pande za kigogo
wamekutaka hawajakupata hata kidogo
akina Roma kay abuu na shemi chogo, wooo
hawajakupata hata kidogo, hehe hehe aya aya
Blue vipi mbona sikusikii tena, sikusikii ukiflow
mbona sikusikii ukisema
niko busy na baby jamani nishasema
niko busy na wife jamani nishasema

mabaya yanasemwa kila siku, daily
wazushi nao hawaiishi bifu, ha ha
maisha sio kutesa kila siku
japo pesa ndio kila kitu

[Steve]
tabasamu, nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
tabasamu, nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe


[Q Chief]
wanakesha wakiomba tuachane
kwenye shida love, nikukane
Tabasamu, nitaka nione unacheka baby
Tabasamu, sipendi kukuona ukilia baby, wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom