Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

”KILA mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, kila mtu atatoa hesabu yake mwenyewe siku hiyo ikifika…” Hiki ni kipande cha wimbo ambao ulivuma na kupendwa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
nan alitisha ktk awards hz mi kwangu pharell William alitsha na mkofia wake
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Wadau especially wapenzi wa stand up comedies pamoja na Black Americans comedy movies; nani mkali kati ya hawa manguli wa kutuvunja mbavu kwa vicheko ; Eddie Murphy Martin Laurence Chris Turker...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
31/1/2014 pale pale nyumbani lounge, 3 anniversary and re open party ya kufa mtu na burudani Kali kutoka machozi band ikiongozwa na commando jide mwenyewe, njoo upate bahati ya kuniona live pale...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wanaoijua Club hii hebu tujuzeni habari zake tafadhari!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hawa wazee ni hatari, wanakamua show za kikubwa, ukitaka kula starehe watafute hawa jamaa! Hawabahatishi hata kidogo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hamjambo waku ndugu zangu? Wakati wa utoto wetu hasa tuliokulia au kuzaliwa vijijini tulikutana na burudani ya bangobango ambapo kwa sauti ya kuvutia walikonga nyonyo zetu. Nimewahi kusikiliza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
i cant wait hii kitu asee Jack is back ,.chloe is back ,.. tetesi Tony Almeida ndani ..si mchezo
1 Reactions
9 Replies
2K Views
mambo vip wadau wa jf kama kichwa cha thread kinavyojieleza nahitaji msaada wapi nitaipata nyimbo ya mirro inayoitwa nibembeleze my boo,mashairi yake inasema nibembeleze kwenye beat ya mazuu jina...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Sikiliza huu wimbo wa Dr Remmy, kuna meseji ya ukweli kabisa kwa maisha ya sa hivi, unakuta mtu umekaa muda mrefu mbali na nyumbani halafu wanataka urudi utarudi vipi mikono tupu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
If you were to marry one of this queens-Nancy, Jokate and Richa; who is the best among them,why? PM
0 Reactions
17 Replies
3K Views
IMEKUWA nikiandika uchambuzi wa maoni juu ya waimbaji wa muziki wa Injili, ambapo pamoja na kazi nzuri wanayoifanya ya kufikisha ujumbe wa Neno la Mungu kwa njia ya kuburudisha, baadhi yao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Come and join the FUN!! ↓ →UHURU WALK & TREASURE HUNT 2014. Febuary 2nd • 7A.M • 6.5KM Giving orphans a chance for better tomorrow!! Take a step forward & contribute from Tsh 5,000/-...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Natafuta chuo chochote nchini Kenya au south Africa kinachofundisha acting,directing and script writing kwa bei nafuu,nataka nilete mabadiliko kwenye tasnia ya filamu nchini...shukrani
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani hii movie YA FIFTY SHADES OF GREY inatoka lini? cant wait
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa Hip Pop jina hili sio la kuuliza na wale wanaofuatilia kwa ukaribu zaidi watakuwa wanakumbuka mazingira yaliyozunguka mauti yake. Zimekuwepo fununu nyingi na uzushi lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JUSTIN Bieber has been arrested in Miami Beach for drag racing and driving under the influence, police told local media. NBC Miami said Bieber was in a rented Lamborghini but...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
[Ukombozi Africa – Urafiki Jazz Band] Mwenyekitiiiiiii, Wa nchi tano zilizo mstari wa mbeleeee, Tunakuomba, Uzidishe mapambano ya kusini, Mwa Afrika, Kwani maadui , wa Afrikaaaaaaaaaa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Jamani kati ya mwanamuziki diamond platnumz na chamelion nani unamkubali zaidi??toa maoni yako tafadhali
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…