Kwa wale wapenzi wa vibonzo hebu tujaribu kuwatathmini hawa jamaa katika hii tathnia. Pia ongeza na wengine unaowafahamu
1. Abdul Kingo. Huyu jamaa ana katuni zake kama vile songombingo za...
Wale wapenzi wa series this time lets talk kuhusu hii series ya empire na zile nyimbo zinazopatikana kwenye ile series.. Uwanja ni wetu...
Team.. #cookie ,, #hakeeem #jamal lets gooooooooo
Hivi wasanii wetu wanawazaga nini mbona hata ukitafakari hupati jibu la maana ya wanachoimba? Au ndo vina... Yaani katika akili ya kawaida mtu huwezi fikiria kabisa hayo maneno au ndio ukishapiga...
Ni tarehe 23 mwez huu 2015
Uzinduz wa kampen pale jangwani
Kijana nasibu pamoja na wasani kibao watakuwepo
Huku upande wa pili
Prof j,wagos wa kaya,sugu,nature ,msaga sumu na bongo movie wachache...
Ni miziki ya ala tupu..ni ya miaka mingi iliyopita...kasha lake limeandikwa sea of tranquility...nimejaribu you tube...uni lakini sijafanikiwa nimezunguka maduka ya muziki jijini dar..wala hawana...
Naomba nijue wadau,
Hivi huyu Salama Jabir je anajua kuimba? Au walitumia kigezo gani cha kuwa judge kwenye BSS? Hivi anamwanaume huyu, au ana mtoto?
Maana amenikata kwenye usahili wa BSS
Upi ni wimbo Bora zaidi wa Bongoflavour (mapenzi), leo nataka tutafute upi ni wimbo bora zaidi wa Bongo Flavour katika upande wa hizi nyimbo za mapenzi maana zipo nyingi kushinda nyimbo zenye...
Huu wimbo umepigwa vizuri sana na lyrics zake even better
"Ojuelegba"
Its legendury beats
Yea yea
wizzy baba o
Na wa oh
Dami loun Answer me
o wizzy
Ni ojuelegba in Ojuelegba
They know my...
Huyu dada alikua mtangazaji mzuri sana Clouds Fm kipindi cha Leo Tena.
Aliacha mda mrefu bila sababu za msingi sana.
Namkubali sana huyu dada namtakia kila la heri huko
Guyz kati ya redio nazo zikubali hapa bongo basi EBONY FM ndo ya kwanza ipo Iringa hii radio inasikika nyanda za juu kusini kote na sasa imefika Dar es salaam a.k.a kumwaaaani (in eddo voice)...
Habari
Ninaomba mwenye wimbo wa kuitangaza Tanzania aniwekee hapa ili niweze kuu download. Haswa kuna ambao niliona kwenye video wanamuziki wa kike wamevaa nguo zenye bendera ya Tanzania.
Wimbo wa...
Naam waswahili husema ukubwa dawa basi ndo hivyo maneno yanatimia kwani msanii mkongwe wa muziki wa bongoflavour hapa nchini king kiba sasa ameamua kuja ni kitu kingne kizuri kwa mashabiki wake...
Waungwana katika wasanii wa kiharakati waliopata kuvutia hadhira kubwa kwa nyimbo zao za kimapinduzi, nyimbo zinazokemea maovu kwenye jamii,, sidhani kama kuna wasiowafahamu hawa vijana.... mfano...