Natafuta nyimbo/miziki - Sea of tranquility

Natafuta nyimbo/miziki - Sea of tranquility

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,067
Reaction score
15,142
Ni miziki ya ala tupu..ni ya miaka mingi iliyopita...kasha lake limeandikwa sea of tranquility...nimejaribu you tube...uni lakini sijafanikiwa nimezunguka maduka ya muziki jijini dar..wala hawana habari ni kitu gani ninachotafuta...bahati mbaya majina ya hizo nyimbo siyakumbuki maana nilikuwa kijana wa chekechea miaka hiyo ya sitini mwanzoni...sasa sijui kumbukumbu ya nyimbo hizi naweza kuzipata wapi....bank music au...wateva bla bla..mnisaidie ...nyimbo hizi huponya nafsi......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom