Upi ni wimbo bora zaidi wa Bongo Flavour?

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,072
Upi ni wimbo Bora zaidi wa Bongoflavour (mapenzi), leo nataka tutafute upi ni wimbo bora zaidi wa Bongo Flavour katika upande wa hizi nyimbo za mapenzi maana zipo nyingi kushinda nyimbo zenye ujumbe mwingine.

Kwangu naanza kwa kutaja nyimbo ya "Latifah" ya Mb Dogg kuwa ni nyimbo kali zaidi ya mapenzi kushinda zote nilizowahi kuzisikia katika Bongo Flavour, nilihataji sekunde chache sana kutambua kuwa huu wimbo mkali , enzi hizo katika chaguo la msikilizaji...nasikitika video hakutoa hadi mwaka gani sijui ndo akatoa one of the worst videos ever..
 
mimi wimbo wangu bora wa bongo fleva ni zile ngoma za ala tupu za mzee moris ambazo hupigwa kabla ya taarifa ya habari ya radio tanzania dar es salaam na sasa radio uhuru.
 
Back
Top Bottom