Umeisikiliza nyimbo mpya ya Chid Benz "benzino" a.k.a Chuma!?
..msituletee habari hizo, msijifanye mnataka sana mabadiliko hata kumpa mwizi, ukiwa mwizi uraiani huwezi kuacha ikulu.
...sichagui...
Wapenzi wa sinema za kutafsiriwa kwa kiswahili tumepata pigo la kuondokewa na mtafsiri maarufu wa sinema anaeitwa DERICK MUKANDARA RUFUFU "rufufu" ambae inasemekana amefariki kwa presha siku mbili...
Video mpya ya mwanamuziki Belle 9 inayoitwa'shauri zao' imeanza kuonekana kimataifa kwa kuchezwa kwa mara ya kwanza kwenye kituo cha trace tv cha afrika kusini. Hii ni furaha sana kwa belle 9 na...
What's good JF massive?
So next weekend I'm throwing a backyard party at my crib right here in John's Creek.
There will be plenty of honeys, drinks, and chow.
And hey, if you have designs on...
Wakuu, Ni Wapi Naweza Download Hizi Nyimbo Za Old School??
1.Rise To The Top_ Lost Boys
2. Ya Leo Kali_ Wachuja Nafaka
3. Mambo Ya Feza_ Mr.11
Nimezitafuta Sanaa Mitandaoni, Sijafanikiwa...
Samahani sana wadau, mi naishi mbeya pande za mwanjelwa hapa. kuna mshkaji wangu hapa anajua sana kuflow yan kuimba muziki wa hiphop, kwa sasa anatafuta kundi lolote la muziki huo aweze kujiunga...
Kia wale wapenzi wa Muziki wa Congo sana sana wale washabiki wa Legrand Mopao, fungua hiyo link uenjoy track yake mpyaa. Mimi binafsi huyu bingwa namkubali sana.
Salaam kwenu wana JF,
Kuna huyu Rapper mtoto wa kike wa kujiita, Chemical, anayetamba na hit single ya Sielewi aliyomshirikisha Soprano kwenye chorus, OMG! Naomba kumpa salute!!! Mtoto ametambaa...
Jah Cure releases this highly-anticipated album produced by him and his team, he spent $70,000 US dollars to record and present it for release with VP Records. A prolific artist, the album tracks...
Habari wadau..
kampeni za mwaka huu zimekuja na mbwembwe nyingi na burudani...
Je, kati ya msaga sumu na Tot nani amefunika?
Jimbo gani linaongoza kwa kuserebuka
Msanii nguli wa mziki wa hip hop FARID KUBANDA (Fid Q) aliimba kwenye moja ya nyimbo zake kua japo bongo flavour ni mzuri kiasi ila HIP HOP kwake ni kila kitu katika maisha (my QUEEN)
Hakika...
Mi naimani kwenye kuzaliwa kila mmoja kazaliwa na kipaji chake binafsi ninavyo kama vitatu.
Yani mpira, kuimba na kutunga stori.
Uzi wangu ni nahitaj watu wa kuanzisha crew la music iwe hiphop...
Natanguliza shukrani mwenye wimbo huu wa BETY, ulioimbwa na juma kakere, ft sintha, anisaidie kwani nimeutafuta youtube hakuna na sehemu nyingine, nitashukuru sana.
Group classes are more than the loud music, fast movements and shouts of encouragement that are seen and heard in a fitness room. You should never be bored with the variety of exercise choices...