Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Swahili Fashion Week is back this year with various designers and fashion gurus ready to showcase their pieces.The event will be held at Sea Cliff Hotel ,Dar es Salaam. It is a great opportunity...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau watasnia ya sanaa hususani burudani ya mziki nadhani sasa ndiyo mda muafaka wa kupata burudani kutoka kwa wasanii wetu. Nahisi wiki hii au ijayo wasanii wetu wataanza kuporomosha nyimbo zao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chidy aliamini baba yake anaemlea ni babayake mzazi, pia mama yake kadhalika, japo mzee muro alikua na wake watatu, aliweza kuwamudu wote na kuwakidhi mahitaji yao. Hakutaka kuifichua siri nzito...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuchoka kumuomba mungu msamaha na amjaalie aweze kupata mtoto, japo kwake ilikua ni ndoto ya alinacha. Ochu furaha yake aliokua nayo ilianza kufifia, hata wafanyabiashara wenzake hawakuelewa...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Ochu akiwa na mkewe zuwena wameketi kwenye sofa kubwa baada ya kupata chakula cha mchana, mfanyakazi SADA alikusanya vyombo vilivyokua mezani na kwenda kuviosha, aliwaacha Ochu na zuwena...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Adele ni moja kati ya wanamuziki wanaonibamba sana nikisikia nyimbo zake huwa zinavuta hisia.. ukianza na Someone like you, Rollin in the deep, Skyfall etc Alikuwa kimya kitambo lakini sasa hivi...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
''Enhee,kuna nini tena hapa?'' Aliuliza mkuu akiwa na mikunjo kwenye paji lake la uso ikidhihirisha hamu alokua nayo mwalimu huyo kujua nini kinaendelea. Hakupenda hata kidgo wanafunzi wake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za asubuhi jamani. Mimi naomba kujua bei za kumbi za harusi za Tabata, Sinza, Mabibo, Manzese, Buguruni. Sinza ningependa kujua being za kumbi hizi: Kuala Lumpur, Mwika, Deluxe, Mirado...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za asubuhi jamani. Mimi naomba kujua bei za kumbi za harusi za Tabata, Sinza, Mabibo, Manzese, Buguruni. Sinza ningependa kujua being za kumbi hizi: Kuala Lumpur, Mwika, Deluxe, Mirado...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hakujua amwambie nini mwalimu ili aweze kumruhusu aingie ndani na kujiunga na wenzake ili wasome. Mwalimu mashaka alijulikana shuleni hapo kwa ukali na tabia yake ya kuwaonea watoto wa kiume na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hali ya nyumbani hapo ilikua ni ya kusikitisha sana,kimali mzee kauchume alikua maskni sana,ni mtu wa kabila la wafipa aliezaliwa huko mkoani rukwa wilaya ya sumbawanga, hakua mzuri sana wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mama yangu yuko wapi?? Baba yangu yuko wapi?? Ndugu zangu kina nani? Ni maswali niliyokua nikijiuliza kila siku bila kupata majibu,maisha ya tabu na shida niliyazoea nikiwa bado mbichi sana huku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wa muziki wa rock/pop...mnawachukuliaje hawa wasanii!? kimsingi mimi nimeshindwa kubaini nani ni zaidi ya mwenzake!!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa wimbo mpya wa nguli wa Hipphop ROMA MKATOLIKI wa Vivaaaa roma umepigwa marufuku kuchezwa katika vyombo vyote vya habari nchini.
0 Reactions
61 Replies
19K Views
Wanabodi, Kati ya vitu vinavyompa raha sana binadamu, kumburudisha, kumliwaza, kumfariji, ni pale anapopata ile kitu roho inapenda, hivyo kwa upande wangu baada ya maumivu ya uchaguzi mkuu...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
wakuu sehemu gani weekend wanapiga band nzuri.?
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Sandra Bullock will star in an all-female ?Ocean?s Eleven? reboot. The 51-year-old actress is in talks to take on the leading role in the third incarnation of the movie, with Frank Sinatra...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
https://www.youtube.com/watch?v=D2v5B6ecs9M https://www.youtube.com/watch?v=2Q0-JHIijo8
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Naomba mwenye kuujua wimbo ambao huwa unapigwa kipindi cha bango tbc(kumbukumbu) anisaidie tittle ya wimbo
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Naomba mwenye kuujua wimbo ambao huwa unaopigwa kwenye kipindi kipindi cha bango tbc(kumbukumbu) anisaidie tittle ya wimbo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…