..WASANII kuanza KULIPWA NYIMBO zao Kupitia Redio na TV

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
39,629
83,935
..Hii kitu nimeona katika Magazeti kuwa Wasanii Wataanza kulipwa na vituo vya redio na tv ,kila NYIMBO zao zitakapokua zinachezwa ktk hivyo vituo...
..kn Mtu kaniambia kuwa Mziki wa Kenya umeshuka baada ya serikali ya huko kupitisha hili na redio kuacha kupiga kwa wingi NYIMBO za kikenya kukwepa kulipa..

..Naomba Maoni yako kwa hapa Tanzania je Redio na Tv ziko Tayari kupiga NYIMBO zao na Kuwalipa? au nao wataacha kupiga ?..

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom