Wadau,habari za weekend?Naomba msaada wa ratiba za redio wanaopiga nyimbo za kale hasa nyakati za usiku,tafadhali nitajie redio husika,siku na muda wa kipindi.Asanteni sana
Rejio maria na tumaini
rejio au rejeo? mi nadhani ni rejeo maria na tumaini.