Huyu hapa chegge ft Runtown & uhuru - sweety sweety

Huyu hapa chegge ft Runtown & uhuru - sweety sweety

Safi sana naona vijana wetu wameamua kufanya mziki kazi na waahidi nitawaunga mkono.
 
Chege ni fighter mzuri na atatoka tu!! hata wimbo wa kaunyata sijui kwanini sijauona top ten east ya sound city?
 
Back
Top Bottom