These are the possibility of actors to be casted (don't take it seriously 😃)
Tom Cruise
John Depp
Samuel Jackson
Morgan Freeman
The Rock
Arnold Schwarzenegger
Rambo
The Taker...
Anaitwa Guy Ritchie amezaliwa Uingereza septemba 10 1968 kazi yake ni mwandishi na muongozaji wa filam ameandaa muvi nyingi kali kama Operation Fortune, The Gentleman ilishinda tuzo ya muvi bora...
Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake.
Stori...
▪️ Genre: Action, Drama, Thriller
▪️ Date: 15 Jan 2016
▪️ Rate: 7.3/10 IMDb
▪️ Time: 2h 24m
▪️ Director: Michael Bay
▪️ Main characters:
John Krasinski kama Jack Silva
James Badge Dale kama...
Kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu kutupa uwahi hadi siku ya leo. Ivo basi ningependa kushare idea zangu za mchezo unaoitwa ROULLETE.
ROULLETE/WHEEL OF FORTUNE ni mchezo unaopatikana katika...
My list
- Snowfall - Alton alikuwa teja lakini familia yake ikamkubali upya, matokeo yake akaanza kusnitch, huyu mzee hana shukrani na kasababisha anguko kubwa sana la Franklin
- Prison Break...
UTATU WA G RECORDS
DJ Gulu Ramadhan Nnanji " G LOVER" alifungua studio yake, G RECORDS na kumpatia mikoba yote ya production, Roy Bukuku.
Kazi nyingi zilipikwa pale huku utambulisho wa kazi...
Simulizi : MTAMBO WA MAUTI
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
Sehemu ya 1
W 1 X
HILI lilianza kama tamthiliya, tena tamthiliya yenyewe nyepesi tu, ya mapenzi. Kama...
Wapendwa Wapwa zangu hii movie nimeikumbuka sana sana naombeni mnisaidie naweza kuipata wapi kwa hapa Dar kwenye CD nikainunue au mwenye nayo anikodishe...imenikumbusha mambo fulani very binafsi...
Simulizi : TUTARUDI NA ROHO ZETU?
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
KAMA maji ya bahari ya hindi yangekuwa na hisia, basi yangejisiskia fahari sana kwa kupata...
Simulizi : KIGUU NA NJIA
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
likuwa mara yangu ya kwanza kumuona baba akitokwa na machozi. Kwa kweli, ilikuwa mara yangu ya...
Wanaukumbi.
Filamu ya hali halisi iliyoshinda tuzo ya Oscar 'No Other Land' ni ushirikiano kati ya watengenezaji filamu wa Palestina na Israel na inafuata juhudi za Wapalestina za kuzuia...
Kwa wale wenye upeo wa kujua vizuri watakubaliana nami.
Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora za Lugha ya Kiswahili kuwahi kutengenezwa Tanzania.
Ni aibu kwanini hatuna Tamthilia za...
Tiwa Savage opens up on why she does not sign artistes
Nigerian singer Tiwa Savage has opened up about why she chooses not to sign upcoming artistes, citing the stress and responsibility of...
Wanasema msiba mzuri ukiwa kwa jirani yako sababu ujavaa viatu vyake.
Mbaraka Mwinshehe :Mtaa Wa Saba.
Katika wimbo wake huu alizungumzia kuhusu mikosi na nehema alizofanya kuhama.
Tunapo sema...