Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

NYOTA wa Bongo Fleva, Harmonize a.k.a Konde Boy amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao, ikiwamo cha siku ya karibuni wakiwa visiwani Zanzibar. Kupitia Insta...
1 Reactions
0 Replies
599 Views
Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuimba live sio kurukaruka juu ya jukwaa. Wasanii wabongo mnarukaruka sana kwenye jukwaa. Ushauri mchungu mkifika kwenye jukwaa tulizeni akili connect akili yako na wasikilizaji. Imba...
1 Reactions
18 Replies
837 Views
Legendary actor Gene Hackman and his wife has sadly passed away at the age of 95. Rest in peace Gene Hackman. Oscar-winning US actor Gene Hackman, his wife Betsy Arakawa and their dog have been...
2 Reactions
6 Replies
653 Views
Hebu sikiliza hiyo sauti aiseee
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Trachtenberg was found dead Wednesday in her New York City apartment by her mother. It was reported the actress recently underwent a liver transplant after battling alcohol issues and 'may have...
2 Reactions
2 Replies
605 Views
Sinners ni filamu mpya ya kutisha inayoongozwa na Ryan Coogler, ikimshirikisha Michael B. Jordan katika nafasi kuu. Filamu hii inatarajiwa kutolewa tarehe 18 Aprili 2025. SHORT STORY Katika...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Genre: Thriller, Crime, Drama Date: 2014 Rate: 7.1 IMDb PG: 18+ Origin: South Korea Time: 2h 2m _____________________ SHORT STORY Mvua ilikuwa inanyesha kwa nguvu, ikitengeneza vidimbwi...
2 Reactions
2 Replies
383 Views
YESHUA - AVION BLACKMAN
1 Reactions
8 Replies
394 Views
▪️ Genre: Horror, Mystery, Thriller ▪️ Date: 2024 ▪️ Rate: N/A ▪️ Origin: USA ▪️ Time: N/A SHORT STORY Baada ya kuhama kwenda kwenye nyumba ya zamani pembezoni mwa jiji, Laura Sollet...
2 Reactions
4 Replies
545 Views
▪️ Genre: Sci-fi, Horror ▪️ Date: 2017 ▪️ Rate: 7.1/10 (IMDb), 80% (Rotten Tomatoes) ▪️ Origin: USA ▪️ Time: 1h 59m SHORT STORY Katika siku za machafuko na utafiti wa anga za mbali, kundi la...
0 Reactions
2 Replies
414 Views
▪️ Genre: Thriller, Mystery, Drama ▪️ Date: October 16, 2024 ▪️ Rate: N/A ▪️ Origin: South Korea ▪️ Time: 90 minutes SHORT STORY Filamu hii ya kusisimua inamhusu Jun Woo, kijana...
1 Reactions
4 Replies
510 Views
KABZAA (2023) ▪️ Genre: Action, Crime, Drama ▪️ Date: 17 March 2023 ▪️ Rate: 6.1/10 IMDb ▪️ Origin: India ▪️ Time: 2h 16m SHORT STORY Filamu hii inamhusu Arkeshwara, mwanajeshi wa Jeshi la...
1 Reactions
2 Replies
369 Views
Story ni kwamba vijana wanaofanya mziki wa rock kuendesha maisha yao wanapewa mchongo wa kwenda kupiga show ktk bar fulani iliyo nje ya mji, bar ambayo ina wahuni kama wote. Kwa kuwa ndo kazi yao...
2 Reactions
3 Replies
241 Views
Salamu wakuu, nina uhitaji wa movie na season kwa mwenye nazo, anaweza nisaidia au tukafanya biashara nikampatia kiasi kidogo Cha fedha. Ninapenda movie za aina nyingi ziwe za kizungu...
2 Reactions
104 Replies
6K Views
Robert akiwa kwenye gari lake alianza kulia, akashindwa hata kuendesha akaamua kusimama kando ya Barabara akiwa anabubujikwa na machozi. Machozi yakawa yanamtiririka Robert huku akizidi kulia...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
JINA LA FILAMU: Demon City 2025 Aina: Kitendo | Hofu | Sayansi-Fiksi Muhtasari wa Hadithi: Sehemu ya 1: Kuanza kwa Mkasa Mwaka ni 2025, katika jiji la kisasa linalojulikana kama Neo Babylon...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Yeyote mwenye filamu ya bongo (Bongo movie) iitwayo THE AVENGERS iliyochezwa na wasanii wafuatao... 1. Jennifer Kyaka - Sterling. 2. Yusuph Mlela. 3. Jackline wolper. 4. n.k Tafadhali mwenye hii...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Sisikii wadau mkiuongelea huu mzigo. Ni series ya zaman nahisi 2007 au 2008 lkn imenikaa kichwani since ina unyama mwingi sana, kama hujaitazama give it a shot na uje utuambie mtazamo wako kuhusu OZ.
1 Reactions
24 Replies
847 Views
https://youtu.be/mcg2S5LIRAw?si=nJ_oe-WDuw_gE84f K. Dot akitupa ladha wazee, story teller, mistari na mziki uliokuwa kwenye circle, patterns, hook 🔥🔥🔥🔥
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Back
Top Bottom