Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nimehudhuria baadhi ya matamasha na LIVE SHOWS za Wasanii wetu. Ila sikuwahi kufurahia tamasha hizo kutokana na kelele zisizo na mpangilio kutoka kwa wasanii wenyewe. Mara , Kushoto Kulia, mko...
1 Reactions
7 Replies
420 Views
Msaada tafadhali, nahitaji kucheki series za kikorea ila ndio hivyo tangu dramacool waamue kushut down site zao zote, nimekosa mbadala. Nipeni mautundu niburudike....
0 Reactions
12 Replies
615 Views
Nimemfuatilia huyu Kiduchu na bosi wake, nimegundua wanapoteza muda mwingii sana kufosi kuleta kitu mjini ambacho hakipo. Hakuna mahusiano kama haya kati ya Boss na House girl. Vitu vya kuigiza...
2 Reactions
15 Replies
995 Views
Kuna shida gani hapa kwanini haziishi na pesa nyingi imetumika ona mfano hizi The Equalizer Into the badlands Revolution Poppss house Lopez The strain Na nyingine nyingi Hii into the badlands...
3 Reactions
9 Replies
539 Views
"Nahonga pakubwa nakula kidogo" inapigwa live Tazama bendi ya Wamwiduka wakipiga wimbo wao "Nahonga pakubwa nakula kidogo",
4 Reactions
26 Replies
949 Views
Nilipata kuandika .... LIVERPOOL NA LAANA YA UBINGWA WA EPL NA NIHZRATH NTANI JNR. Ni Jumamosi moja jioni. Naam! ni jioni ile ya Jumamosi ya April 28, 1990. Historia ninayoizungumzia hivi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka. Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja...
38 Reactions
318 Replies
22K Views
Wakati leo napata chai kwa wakwe zangu,kwenye luninga kukawa na tamthilia asubuhi hii kwenye Azam two. Katikati ya tamthilia ilipigwa nyimbo flani hivi kali sana ya kiswahili kama soundtrack...
0 Reactions
5 Replies
816 Views
Salamu Baba na Mama Nazituma kwa furaha Bila shaka zitafika , mfurahi nyote bila manung'uniko wapenzi oohh... Wazazi ninafuraha sana kuwakumbuka nyie, Wala msiwe na shaka juu yangu mie Na mimi...
1 Reactions
0 Replies
296 Views
Wana Jf ni muda sasa wa hip hop , tunaandika habar mbalimbali kwa vina na michano, haya twende kazi kwenye hizi ngumu nyeusi mpaka waeleewe
1 Reactions
818 Replies
98K Views
Utangulizi Binti aliyepewa mimba na Nabii ni story ya kweli kabisa, mhanga kaniomba nisambaze ili mabinti wengine wajifunze, karibuni nyote. Anaanza kwa kusimulia. PART 1 Nimelelewa kwenye...
6 Reactions
16 Replies
7K Views
Katika historia ya muziki wa kielektroniki (EDM), ni vigumu kutaja mafanikio ya miaka ya 90 bila kulitaja jina la Eiffel 65. Kundi hili la muziki kutoka Italia lilivuma sana duniani kwa wimbo wao...
2 Reactions
0 Replies
383 Views
DON'T SHOUT (usipige kelele) Sehemu ya...............01 Mtunzi: Saul David Tel : +255756862047 E-mail: saulstewarty@gmail.com **** EPISODE 01... "Moto, moto, jamani motooooo" "Moto, kuna mtu...
16 Reactions
404 Replies
156K Views
Habari za wakati huu wakuu, mimi Ni mdau mkubwa wa game ya Hip Hop ya hapa Bong (mainstream na underground hip hop). Leo nataka tujadili kuhusu hip hop ya bongo especially, underground hip hop...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
KAHAMA: ARDHI ILIYOLAANIWA NA DHAMBI Katika jiji lenye utajiri wa madini lakini limejaa giza la vita na usaliti—Kahama—shule ya kifahari inasimama katikati ya machafuko, ikificha ajenda kubwa...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
I hit the weed, I told myself the last time would be my last I don't trust my own niggas, now my mind racing fast Got my foot up on the gas, got a hundred on the dash If the police run up on me, I...
3 Reactions
18 Replies
928 Views
Bwana Marlow popote ulipo kama una mpango wa kurudi kwenye Bongo Fleva jaribu kufanya remix ya wimbo wa Bado Umenuna. Huu wimbo watoto wa 2000 bado hawajausikiliza...
4 Reactions
52 Replies
1K Views
Kwa upande wangu Mimi ni "shaolin soccer" sijawahi ona movie yenye uhongo wa kitaalamu Kama Ile. Je ww kwa upande wako ni movie gani
9 Reactions
104 Replies
10K Views
Aisee kuna sisi tunachelewa sana kurudi nyumbani hivyoo ata muda wa kukaa kuangalia Tv inakua shida. Sasa binafsi hua mara nyingi najikuta natazama taarifa ya habari ya UTV Ile ya Azam saa 6...
0 Reactions
1 Replies
268 Views
Habari wana jamvi, Kuna kipindi kinafika unatamani ukae na familia muangalie movie zenye story za kufunza au movie zenye maudhui mazuri ya dini. Leo nakuletea movie & Tv series maarufu...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…