Wakuu nilishawahi kuleta uzi humu kama miaka mitatu iliyopita kuhusu stand up comedy shows hapa bongo, natambua wapo wachekeshaji tayari ila bado hii industry iko under utilised sababu ya ukosefu...
Wadau tangu jana nimejikuta nakumbuka sana Walt Disney.
Kilichonikumbusha zaidi ni zile nyimbo za mle ndani, hivyo nilivyoamka tu nikaanza kuzisikiliza.
Roho yangu imefurahi sana nikakumbuka utoto...
kuna wimbo wa Diamond platnum unaitwa CHEKA KIDOGO
MASHAIRI YAKE
"Mwenzako cheka kidogo tabasamu nionyeshe meno kidogo"
siukumbuki vizuri lakini ni baadhi ya mashairi yake
naomba unitumie kwenye...
Kwema Wakuu wangu,
Kuna Series nimeiona wiki chache hizi kwenye Channel Number 251 ya Azam, inaitwa Romanza. Series hii inaitwa The Two of Us, au kwa ki kwao wenyewe "Tayong Dalawa". Hii filamu...
Chicago boys perform a violent rap music with demonic vibe - Kill to Survive. When asked, they amazingly reply "their music has no intention to promote violence, but they want it to go viral!"...
Tazama filamu iliyochezwa na "MUHOGO MCHUNGU" akiwa na "KING MAJUTO" iitwayo "FUNDISHO"..........Cheka mpaka mbavu zako ziume.
bofya hii link hapa chini ....⬇️⬇️⬇️⬇️
#bongomovie #bongomovies...
Kwenye wimbo wake maarufu sana miaka ya 80 ulioitwa girlie girlie almaarufu sigali geleee mwana mama Sophia George aliitaja Tanzania ukiusikiliza ule wimbo mpk mwisho pale anapotaja wanaume wa...
CHANNEL YAKO UIPENDAYO INAOMBA NA INAPENDA KUKUKUMBUSHA USISAHAU KU "SUBSCRIBE" KWENYE CHANNEL YETU YA BONGO SINEMA ILI USIPITWE NA FILAMU NA TAMTHILIA KALI ZA #BONGO NA #AFRICA.
BOFYA LINK...
Mkuu Jay more, nipo kwny foleni nasikiliza ngoma yako ya Tunakula bata, ambayo ni mpya! Niseme tu hongera sana Kia mashairi na ubunifu wako kwenye song hilo. Binafsi si msanii wala producer wa...
[emoji91][emoji91][emoji91]NIAJE MWANA UJANJA WA SIKUIZI NI KUANGALIA MOVIE KIGANJANI MWAKO KWA BEI TU KWA ANAEITAJI MOVIE IZI AJE INBOX NATUMA WHATSAP HUMU HUMU KWA NJIA YA LINK NDAN YA SEKUNDE 5...
Aseeh Julie Roberts alicheza Kama Vivian ward na Richard Gere alicheza Kama Edward Lewis... Edward alichukua mzigo kama masihara.. Dem alikuwa mdangaji tuu... But Edward ali fall in love 100%...
Jumatatu ni yakuamka ni #BONGOMOVIE mpya!!
Pata kutazama kazi ya "DR.CHENI" akiwa ameigiza na "GABO ZIGAMABA" #SINEMA kali ya "TAMAA IMENIPONZA"
Part 1 :
Part 2 :
#BONGOMOVIE #BONGOMOVIES...