Sophia george aliitaja tanzania mwaka 1985

Sophia george aliitaja tanzania mwaka 1985

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,466
Reaction score
42,601
Kwenye wimbo wake maarufu sana miaka ya 80 ulioitwa girlie girlie almaarufu sigali geleee mwana mama Sophia George aliitaja Tanzania ukiusikiliza ule wimbo mpk mwisho pale anapotaja wanaume wa nchi mbali mbali na Tanzania aliitaja

Sophia George ni mwanamziki maarufu sana duniani hususan miaka ya 80 mahadhi ya reggae mwenye habari za kumuhusu legendary huyu atuwekee humu
Kibwagizo enzi hizoooo

We mamaaa sigali geleeee we mama sigali geleeeeeeeee
 
Huyu mama yupo hai au ndio kashalamba mchanga zamani?
 
Back
Top Bottom