Wakuu nazani pesa zetu za vifurushi zinaenda tu especially cc wa azam maana tunalipia vifurushi lkn channel nyingi zimezuiliwa hadi sasa kwani tatzo ni nn na lini mwisho wake
Nianze kwa kusema wewe ni DJ unae heshimika sana.hapa jijiji DSM na.Tz kwa ujumla but kwa hili.nalizimika.kukumbusha ili usiendelee kujisahau.
Ni hivi kila.Siku ya Jumamos Dj Masoud Masoud huwa...
Kuna Tangazo linapiga sana wiki hii, Clauds fm, likitangaza Tamasha la Fiesta Musoma na Mwanza
Manzoni wakati nasikiliza hili tangazo la Tigo Fiesta 2018 Musoma na mwanza, niliposikia mtangazaji...
Mambo zenu JF...
Mwenye ako na series au movies za 2017 au 2018 please naomba....na animations pia[emoji7]....
Napenda za horror....mystery...sci-fi...thriller and the like....
Yaani kila sehemu tu unapigwa na nimetoka muda si mrefu Kujisaidia Haja Kubwa katika Choo cha Umma DJ kauweka tena. Sasa sijui baada labda ya Kuona nimeingia Chooni akaamua kuuweka kwa makusudi...
Habariii
Moja ya burudani yangu kubwa ni ubunifu wa watu hasa wachoraji.
Pamoja na kwamba kila mchoraji anaweza kufikisha ujumbe wake kwa namna tofauti lakini ndani yake mimi napata burudani sana...
Artist: Mbaraka Mwinshehe
Song : Shida
(instrumental)
Hakuna kitu kibaya humu duniani kama shida,
haichagui mtu, siku,mwana,mwaka,
Haina katu taarifa, shida huingia,
shida bila hodi, si mtoto...
Siku za hivi karibuni kumeibuka mjadala mkubwa miongoni mwa wanajamii hasa kwa watu wanaojiita "MAKAMANDA" kulaani kitendo cha wana CHADEMA wenzao kuishabikia Yanga huku wakitoa hoja dhahania kuwa...
Habari wana jf.twende kwenye mada husika,baada yakuona watu wengi wanafuatilia filam sijui tamthilia ya sultan ktk app yao,wakaona haitoshi bora kuizima azam 2 ktk app.sasa mtu unajiuliza hivi...
[Intro]
Yeah yeah, I don't wanna be with you, no more
[Verse 1: Salmin Swaggz]
Listen baby I ain't trynna be crazy
Najua unapenda nyumba za masaki na mbezi
Najua unataka vingi kwangu zaidi ya...